Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

well said mtoa mada ni kama vile ana tamaa
Ni kweli..mwanamke aliyetulia hapekui pekui sifa za wanaume kibao..anaangalia mwanaume mmoja then anam badilisha awe jinsi atakavyo hiyo ni POWER OF LOVE...ila huyu anaonyesha hata akimpata mwenye sifa Anazotaka kesho akiamka atasema mengine nataka Mrefu au Mweupe...au yani ukiona mwanamke/mwanaume Chambua Chambua kama huyu bidada kwa kisingizio cha ANATAFUTA WA KUENDANA NAE sifa zao ni VIBURI.

Mdada/Mkaka wa type hii huwa wanajionaga wao ni wazuri wamekamilika so hawahitaji mtu tofauti na wao ndio mana masharti yamewajaaa,Hawajui Mapenzi sababu wanahisi wao ni malaika wanataka wafanyiwe kila kitu,hawajui kujishusha Wanapokosea.

Type hii ya mdada/mkaka hutafuta mpenzi only for Show OFF ukitaka gundua hilo soma THREAD ya huyu mdada utagundua anachotafuta sio Rafiki ila ni mtu wa Kuringishia wenzake..eti "awe anaongea English vizuri" lugha ya mtu inahusiana nini na urafiki wenu? wewe tushajua unachotafuta.

Kwa ufupi Thread yako nzuri ila hata hao ulowataja sidhani kama wanataka type of YOU...Sifa yako 1 tu niliyogundua unayo ni "Ujasiri wako wa kujielezea hata kama ni Pumba"
 
That same damn question mleta mada kagoma kujibu [emoji45][emoji45]

Mtoa mada ana too much ego in her sasa wanaume huwa hawawezan na mwanamke wa hivyo...watakaa siku mbil watapigana chini...Huyu dada yupo lonely ila atapata tu mtu wa kumliwaza, there is always this guy who is always loose hata kama ana multiple relationships au married...atamblackmail kwa kuact vitu anavyovitaka dada atadhan amepata alokuwa anamtaka anakuja kugundua jamaa kadanganya wakati its arleady late...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
huo mstari wa mwisho umemaliza kila kitu, cha kusikitisha ndio aina ya wanawake wanaopatikana kwa wingi siku hizi
 
Mtoa mada ana too much ego in her sasa wanaume huwa hawawezan na mwanamke wa hivyo...watakaa siku mbil watapigana chini...Huyu dada yupo lonely ila atapata tu mtu wa kumliwaza, there is always this guy who is always loose hata kama ana multiple relationships au married...atamblackmail kwa kuact vitu anavyovitaka dada atadhan amepata alokuwa anamtaka anakuja kugundua jamaa kadanganya wakati its arleady late...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ila mleta mada anadai anataka rafiki wa kiume,sio wa kimahusiano ya mapenzi teh!
 
Umekuja na kasi lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
 
Nipo namba yangu ya simu hii hapa +1765500219
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.

Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.

Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)

Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.

Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.

Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.

Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.

Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.

Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.

Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.

Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.

Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.

Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.

Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.

Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.

Ni hayo tu marafiki zangu.
Ambao hatukutajwa hatuna chetu basi sawa
 
Ni kweli..mwanamke aliyetulia hapekui pekui sifa za wanaume kibao..anaangalia mwanaume mmoja then anam badilisha awe jinsi atakavyo hiyo ni POWER OF LOVE...ila huyu anaonyesha hata akimpata mwenye sifa Anazotaka kesho akiamka atasema mengine nataka Mrefu au Mweupe...au yani ukiona mwanamke/mwanaume Chambua Chambua kama huyu bidada kwa kisingizio cha ANATAFUTA WA KUENDANA NAE sifa zao ni VIBURI.

Mdada/Mkaka wa type hii huwa wanajionaga wao ni wazuri wamekamilika so hawahitaji mtu tofauti na wao ndio mana masharti yamewajaaa,Hawajui Mapenzi sababu wanahisi wao ni malaika wanataka wafanyiwe kila kitu,hawajui kujishusha Wanapokosea.

Type hii ya mdada/mkaka hutafuta mpenzi only for Show OFF ukitaka gundua hilo soma THREAD ya huyu mdada utagundua anachotafuta sio Rafiki ila ni mtu wa Kuringishia wenzake..eti "awe anaongea English vizuri" lugha ya mtu inahusiana nini na urafiki wenu? wewe tushajua unachotafuta.

Kwa ufupi Thread yako nzuri ila hata hao ulowataja sidhani kama wanataka type of YOU...Sifa yako 1 tu niliyogundua unayo ni "Ujasiri wako wa kujielezea hata kama ni Pumba"
Mkuu umeandika ukweli mchungu
 
Ila mleta mada anadai anataka rafiki wa kiume,sio wa kimahusiano ya mapenzi teh!

Ukiona mwanaume amekubali muwe washkaji mia kwa mia its either anarelationship yake wewe anaona hauna nafasi au anakuona haufikii vile viwango vyake anavyovitaka unless otherwise mwanaume hanaga urafiki na mwanamke unless kuna kitu anakitaka...nayeye anasema hataki waume za watu hawa masingle boy hawawez kuvumilia tu kumwangalia mtoto mzuri(if she is), wakae nae wapige nae stori tu wasimtake kimapenz, hayupo mwanaaume wa hivyo...TRUST ME
 
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote.

Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda kuwa marafiki na kutaka kuwa na marafiki wenye sifa kama zao.

Nahitaji Boyfriend (rafiki wa kiume toka Jamiiforums ) awe member zaidi ya Mwaka mmoja ( ili nisome threads zake zote nimfahamu tabia yake)

Awe na sifa nyingi kama za GuDume. Mcheshi,mtu wa stories ( mimi si muongeaji napenda kusikiliza) mwenye vituko na mwenye kujiamini.gudume ana sifa za my ideal man.ila nasikia ameoa.

Awe na utulivu hata akitukanwa kama Joseverest au wakati mwingine Mshana Jr. Ingawa tatizo la mshana ni hayo mambo yake ya shirki ila kutotukana ni jambo jema.

Awe na elimu ya kuanzia Diploma at least. Mwenye uwezo mzuri wa kuzungumza kiingereza. Hili nmeliona kwa GuDume na Nyani Ngabu. Napenda mwanaume anayezungumza au andika kiingereza vizuri.

Kuna mwanaume mwingine anaitwa Sodoku naye nmemsoma na kumwona anaonekana anajali familia yake na mtulivu pia napenda a man with those qualities.

Kuna mwanaume anaitwa Kiduku Lilo huyu anaonekana kuwa na pesa ila mjeuri na mwenye majidai sana.sipendi mwanaume mwenye dharau sana. Ila napenda awe anajiamini.huyu pamoja na kujiamini lakini ana dharau kwa maskini.

Napenda nipate boyfriend mwenye kufuatilia siasa pia kama anavyofanya pascal mayala anaonekana kuwa na ufaham mzuri wa siasa na kufuatilia kwa ujumla.

Mimi ni mdada ambaye nmemaliza chuo mwaka jana. Nmeajiriwa bado naishi kwa wazazi. Nina marafiki wachache sana na sijawahi kuwa na mpenzi na sihitaji kwa sasa.

Nahitaji tu marafiki wa kiume ambao nitashare nao mambo mawili matatu ya maisha hasa baada ya kujikuta napoteza marafiki wengi wa kike sababu wengi wao wanafiki na wenye wivu.

Nimeamua kutafuta marafiki wa kiume baada ya kugundua rafiki yangu wa karibu sana zaidi ya miaka mitatu kumbe amekuwa akipokea pesa kwa wanaume ili wanipate.akitumia jina langu kupata pesa kwao kama ni mimi ndo namtuma.

Nliamua kuachana naye baada ya kugundua hilo kwa wanaume zaidi ya watatu.

Sipendi ukaribu na mtu mwnye akili za kitoto.so i need somebody who is matured.anayefaham maisha na si mpuuzi au mtoto mtoto...sipendi kuwa hata karibu na mwanaume au mwanamke mwenye mdomo mchafu (matusi) kama mmoja wa member humu ndani ambaye naye nimemsoma mara nyingi akitukana au kutishia kutukana wenzie wanapompinga.

Hivyo kama utakuja na matusi sitohangaika kukujibu.napenda tuhehsimiane na kila mtu amheshimu binadamu mwenzie.

Ni hayo tu marafiki zangu.
We Cheza tu! Utapata dume jike. Nani kakupa jinsia ya Nyani Ngabu? Sodoku,etc. Hii JF.
Naomba uje kwangu mama! Nakuita mama kwa kuwa ni wewe umesema maana unaweka kuja nikakuta ni bonge ya Dume!

Ila hapa JF yupo na Gwajima ingawa anajificha. Ukinikataa nakutafutia ID yake.
 
I dont need to.i bet you went to read? Ha ha ha.... 😂😂😂 Ni lugha ambayo nmekuwa nayo naifahamu. Unafahamu maana ya etymological meaning? I rarely use dictionaries especially to these common words. 😁😁😁 And if i wanna use i use 21st chambers Dictionary au Oxford advanced dictionary.
Umeandika haupendi dharau wakati mwenyewe una tabia za kihaya,unazingua..
 
Tuheshimiane tu kaka yangu. Mimi sihusiani na hilo kabila hata kidogo. Nakuomba tuheshimiane .mi sipendi maneno na watu

Umeandika haupendi dharau wakati mwenyewe una tabia za kihaya,unazingua..
 
Wewe utapata mwenye sifa zako na sisi wengine tutapata mwenye sifa zetu. Kwa nini umeumia kaka yangu? Hata wewe ulivyo hivyo hivyo utapata wa kukuhitaji. Ila usimpangie mwenzio. Kila shetani na mbuyu wake.

Unaona kama nmekutenga? Binadamu hawapo sawa ingawa wote ni binadamu. Mimi binafsi najua nachotaka. Usiumie nawe utapata wa kukutaka kwa sifa zako. Kwa nini unateseka kaka yangu? Usiteseke

Ni kweli..mwanamke aliyetulia hapekui pekui sifa za wanaume kibao..anaangalia mwanaume mmoja then anam badilisha awe jinsi atakavyo hiyo ni POWER OF LOVE...ila huyu anaonyesha hata akimpata mwenye sifa Anazotaka kesho akiamka atasema mengine nataka Mrefu au Mweupe...au yani ukiona mwanamke/mwanaume Chambua Chambua kama huyu bidada kwa kisingizio cha ANATAFUTA WA KUENDANA NAE sifa zao ni VIBURI.

Mdada/Mkaka wa type hii huwa wanajionaga wao ni wazuri wamekamilika so hawahitaji mtu tofauti na wao ndio mana masharti yamewajaaa,Hawajui Mapenzi sababu wanahisi wao ni malaika wanataka wafanyiwe kila kitu,hawajui kujishusha Wanapokosea.

Type hii ya mdada/mkaka hutafuta mpenzi only for Show OFF ukitaka gundua hilo soma THREAD ya huyu mdada utagundua anachotafuta sio Rafiki ila ni mtu wa Kuringishia wenzake..eti "awe anaongea English vizuri" lugha ya mtu inahusiana nini na urafiki wenu? wewe tushajua unachotafuta.

Kwa ufupi Thread yako nzuri ila hata hao ulowataja sidhani kama wanataka type of YOU...Sifa yako 1 tu niliyogundua unayo ni "Ujasiri wako wa kujielezea hata kama ni Pumba"
 
Nimesoma kwa utulivu nikafika mahali utulivu ukapotea ghafla [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....! Ukafika mahala utulivu ukapotea?. Najua ulipopotelea utulivu ni wapi? Unasoma kule mwanzo ukajua wewe umempata,kumbe anamtaka gudume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mdada ngoja nije PM tufaamiane zaidi au siruusiwi
 
Nikwambie kitu dear, huwezi kupata mwanaume mwenye sifa zote hizo wote walikufa vita vya pili vya dunia, ndio maana hapo umemtaja Wa kuitwa gudume, joseverest, pascal sio mtu mmoja huyo . Hapo chagua mmoja kutokana na tabia uliyompendea halafu mapungufu utamvumilia.
 
Back
Top Bottom