Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

Basi ushapaya rafiki ambaye ni mimi hapa
Uzi ufungwe
 
Mtoa maada mpaka sasa hajui anataka nini....
Anyway jina lako ni jina la mama yangu wacha tuu nikuheshimu
 
Nnnnh! Ngoja kwanza, ntarudi badae.....[emoji125][emoji125][emoji475][emoji475]
 
Kwanza huko Chuo hujafika wewe darasa la
Saba
 
Mfuate inbox mwambie unampenda usiumie. zama hizi ni za uwazi na ukweli ondoa hofu na woga.
 
Tangazo bila picha ni sawa na mboga bila chumvi.....
kachumbale bila pilipili......
 
Hujawahi kuwa na boyfriend/mpenzi kwa hiyo wewe bikra?

Ama mechi za mchangani zinahappen mara kadhaa

Wewe bibie umeniwahi, nlikuwa nataka kuuliza the damn same question, manake i know people wanaopenda mavirgin [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wewe bibie umeniwahi, nlikuwa nataka kuuliza the damn same question, manake i know people wanaopenda mavirgin [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

That same damn question mleta mada kagoma kujibu 😟😟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…