Nahitaji chumba self contained: makumbusho, mwenge , msasani au k/nyama

Hi Nestory, bado natafuta single master bed room ,vipi utakua nayo? Maeneo kuanzia external mpk mwananchi ila hata ikiwa Riverside or hostel si mbaya. Iwe ndani ya fence na isiwe mbali na main road(Mandela road)
Hawataki kula ela yako hawa mwana mahesabu!! Maana umeanza tafuta mda sana; Mimi pia napita pita humu maana mda si mrefu wk 3 zinakuja napaswa pata makazi mpya nimeandaa bajeti 200_250. Kodi miezi 3. Mitaa ya tegeta boko-bunju ama mbweni. Chumba masta sebule, chumba tena, jiko na public toilet.
 
Yani, ila nahisi kuna changamoto ya vyumba hasa master single rooms maeneo hayo,maana napata nyumba zenye double or more rooms,wakati ndyo kwanza naanza maisha nna kitanda pekee[emoji12] ,naona mwenzangu ni mkongwe hivi,maana hiyo nyumba unayotafuta ni kubwa ,ya familia kbs na wajukuu[emoji3]
 
Eneo hilo nimeishi nilipanga pale garage mbele ya external; lina changamoto ya master bedrom sababu nyumba nyingi zimejengwa kwa mfumo wa zamani;

Kwanini usiende ishi ubungo makoka) japo kuna ka gharama ya bajaji 500 utapata sehemu nzuri na nyumba mpya kwa bajet yako iyo iyo. Tena kule hata mitatu walipia.

Hahah eti mpaka wajukuu; no Niko peke yangu sema napenda kujimwaya mwaya ndomana nataka sehemu kubwa tena pembezoni mwaka mji ambako kelele kidogo hakuna.
 
Hawataki kula ela yako hawa mwana mahesabu!! Maana umeanza tafuta mda sana; Mimi pia napita pita humu maana mda si mrefu wk 3 zinakuja napaswa pata makazi mpya nimeandaa bajeti 200_250. Kodi miezi 3. Mitaa ya tegeta boko-bunju ama mbweni. Chumba masta sebule, chumba tena, jiko na public toilet.
Mkuu kwa bei hiyo hayo maeneo utapata nyumba nyingi na utachagua mwenyewe. Wala usiwe na wasiwasi japo kuanza kutafuta mapema ni vizuri mno. Kodi ya miezi mitatu pia utapata. Ile jeuri ya kusema lipia mwaka au miezi sita imepungua kabisa sasa.
 
Eneo hilo nimeishi nilipanga pale garage mbele ya external; lina changamoto ya master bedrom sababu nyumba nyingi zimejengwa kwa mfumo wa zamani;

Kwanini usiende ishi ubungo makoka) japo kuna ka gharama ya bajaji 500 utapata sehemu nzuri na nyumba mpya kwa bajet yako iyo iyo. Tena kule hata mitatu walipia.

Hahah eti mpaka wajukuu; no Niko peke yangu sema napenda kujimwaya mwaya ndomana nataka sehemu kubwa tena pembezoni mwaka mji ambako kelele kidogo hakuna.
Nimefika mpk garage nikaonyeshwa room hiyoo fupiii na nilivo tallest ni balaa, Nyingine mama mwenye nyumba ana mashrti eti kwanza akikupangisha kuingia ndani getini mwisho SAA 4 dooh, hizo controlling kama miye binti yake sipendagi mimi [emoji3] [emoji3] , sikupenda iwe mbali na main road ili iwe rahisi kufika buguruni
 
Endelea kutafuta usikate tamaa: kama hauna haraka kiivyo naamini utapata sehemu unayoihitaji; ingekuwa ni room tu kitambo ungekuwa ume pata naamini.

Haha sasa wewe saa 4 bado utakuwa ujarudi tu? Umenikumbusha mbali nami nili ambiwaga mahali na mwenye nyumba mtoto wangu hapa mwisho kuleta ni mwanamke mmoja.
 
Naendelea kutafuta mkuu, no kurudi saa 4 si shida sana japo sometimes inaweza kutokea ukachelewa ,ila kuambiwa hivo ni ishara ya kuwepo Kwa masharti sharti hata mengine sitaki Mimi ,utapangiwa hadi muda wa kuamka

Huyo alikuambia mwisho wasichana wangapi?[emoji3] [emoji3] , noma sanaa sasa ndugu zako wa kike wasije ?
 
Mpaka tuta pokuja jenga nyumba zetu
Tutakuwa tumeshuhudia yakutosha; haha ila wewe inawezekana umeshajengewa kajumba mahali sema ndo ivo bado haujui
 
Naendelea kutafuta mkuu, no kurudi saa 4 si shida sana japo sometimes inaweza kutokea ukachelewa ,ila kuambiwa hivo ni ishara ya kuwepo Kwa masharti sharti hata mengine sitaki Mimi ,utapangiwa hadi muda wa kuamka

Huyo alikuambia mwisho wasichana wangapi?[emoji3] [emoji3] , noma sanaa sasa ndugu zako wa kike wasije ?
Mkuu kwani unahitaji ya namna gani na wapi na budgeti yako?
 
Nahitaji single master bedroom iwe ndani ya fence, karibu na main road(Mandela road) kuanzia Riverside mpk mwananchi. Budget yangu isizidi 100,000/= au kama itashindikana basi mwisho kabisa isizidi 120,000/=
 
Ni master, sio kufika tu hata kulala nimelala sana sio mara mbili au tatu
Anyway hiyo master ya 80k itakua tofauti kabisa na master ya kuanzia 140k to 200k na hua kila mtu hua ana uchaguzi wake, mtu anaependa master ya za standard nzuri maeneo mazuri hawezi kukaa master ya 80k,
 
Mbona unalazimisha mambo yawe vile unataka wewe?
 
Back
Top Bottom