Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,128
- 2,452
Hapana silazimishi naongelea uzoefu, hata mm wakati naanza kupanga master miaka kama mitano iliyofika nipanga master mitaa ya baruti na ilikua 100k,Mbona unalazimisha mambo yawe vile unataka wewe?
Na ndio hua mteja akipiga labda kuulizia unamuuliza na budgeti yake, so unamtafutia kulingana na budget/hadhi yake mm kuna maeneo mteja akiniambia anataka master kwa budget ya 100k hata sijisumbui.