Hapana silazimishi naongelea uzoefu, hata mm wakati naanza kupanga master miaka kama mitano iliyofika nipanga master mitaa ya baruti na ilikua 100k,Mbona unalazimisha mambo yawe vile unataka wewe?
Uwe unapunguza porojo asee usilazimishe kitu unachoamini waamini wengine, upunguze na wizi pia.Anyway hiyo master ya 80k itakua tofauti kabisa na master ya kuanzia 140k to 200k na hua kila mtu hua ana uchaguzi wake, mtu anaependa master ya za standard nzuri maeneo mazuri hawezi kukaa master ya 80k,
Hahaha afadhali unisaidieUwe unapunguza porojo asee usilazimishe kitu unachoamini waamini wengine, upunguze na wizi pia.
Akiongelea kuhusu maeneo sawa sio kusema master ya 80000 haina hadhi SMH huyu jamaa ukifatilia mambo yake anataka ajifanye dalali classic kitu ambacho ni upuuzi tu!Hahaha afadhali unisaidie
Alianza mwanzo eti chumba cha 80 labda bunju, nikampa mfano hai analeta mambo ya quality...Akiongelea kuhusu maeneo sawa sio kusema master ya 80000 haina hadhi SMH huyu jamaa ukifatilia mambo yake anataka ajifanye dalali classic kitu ambacho ni upuuzi tu!
Kuna chumba master + sebule bei 150000 kwa mwezi afu kipo fresh unakuja ongelea 80000 sio hadhi???
Tafuta pesa mkuu acha umbea! nazungumza uzosfu sio porojo, unadhani matu anakuja anakuambia anataka mastre Ya 100k maeneo ya karibu na mji au mwenge/sinza/ nk si itakua ya kusikitisha,Uwe unapunguza porojo asee usilazimishe kitu unachoamini waamini wengine, upunguze na wizi pia.
TehTafuta pesa mkuu acha umbea! nazungumza uzosfu sio porojo, unadhani matu anakuja anakuambia anataka mastre Ya 100k maeneo ya karibu na mji au mwenge/sinza/ nk si itakua ya kusikitisha,
ndio mana njie mnapenda kuzungushwa tu na kuona madalali wanawazungusha tu hiyo ni kutokana na budget yako, Wizi nilikuibia lini, Labda nikuambie kitu, Mimi sio wale uchwara unaowajua, anakuambia njoo uchek master kali ya 80k maenei kama hayo nawe unaenda, unaliwa ya mguu, mm nikikuambia njoo ucheki jua utaipenda! ndio mana mimi sinaga zile za kuomba omba za mguu, coz nimejitosheleza.
Soma comments zangu vizuri na uache kukurupuka nilisema kuna maeneo ukiniambia nikutafutie master ya 100k sijisumbui, jaribu kuelewa, na kumbuka kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake, kuna wateja hiyo unayosema chumba na sebule unamuuliza budget anakuambia ya 300k so unajua standard anayoitaka, ukimwambia kuna ya 150k anakuambia hiyo hapana haitakua nzuri,Akiongelea kuhusu maeneo sawa sio kusema master ya 80000 haina hadhi SMH huyu jamaa ukifatilia mambo yake anataka ajifanye dalali classic kitu ambacho ni upuuzi tu!
Kuna chumba master + sebule bei 150000 kwa mwezi afu kipo fresh unakuja ongelea 80000 sio hadhi???
Jifunze kwanza kuandika boss me pesa bado haijanitosha ndio maana natafuta sio hadi nisubiri kulipwa pesa ya mwezi kwenye kodi ya mtu!!!Tafuta pesa mkuu acha umbea! nazungumza uzosfu sio porojo, unadhani matu anakuja anakuambia anataka mastre Ya 100k maeneo ya karibu na mji au mwenge/sinza/ nk si itakua ya kusikitisha,
ndio mana njie mnapenda kuzungushwa tu na kuona madalali wanawazungusha tu hiyo ni kutokana na budget yako, Wizi nilikuibia lini, Labda nikuambie kitu, Mimi sio wale uchwara unaowajua, anakuambia njoo uchek master kali ya 80k maenei kama hayo nawe unaenda, unaliwa ya mguu, mm nikikuambia njoo ucheki jua utaipenda! ndio mana mimi sinaga zile za kuomba omba za mguu, coz nimejitosheleza.
Ana maneno mengi huyu jamaa!!! Anakuja sema chumba sebule 300k hyo gharama ya apartment kabisa Kinondoni na kimara nyumba nzima!!!Alianza mwanzo eti chumba cha 80 labda bunju, nikampa mfano hai analeta mambo ya quality...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aya dalali classic.Soma comments zangu vizuri na uache kukurupuka nilisema kuna maeneo ukiniambia nikutafutie master ya 100k sijisumbui, jaribu kuelewa, na kumbuka kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake, kuna wateja hiyo unayosema chumba na sebule unamuuliza budget anakuambia ya 300k so unajua standard anayoitaka, ukimwambia kuna ya 150k anakuambia hiyo hapana haitakua nzuri,