Nahitaji chupi ngapi?

Nahitaji chupi ngapi?

inategemea na shughuli zako kama ni mchukuzi inabidi uwe na chupi kibao ili usije ukasababisha mengine basi elewa ya kwamba idadi inategemea na matumizi au shughuli zako kama wa ofisini kata hata wiki maana ni umande kibao itachafuka mida gani then ktk usafiri wako.
Conquest-chupi za nini na mie msela:nono:
 
Angalau saba kaka, moja inavaliwa kwa siku na kubadilishwa ifuliwe na kuipa mda wa kupumua isiwe kauka nikuvae
 
Kama kila siku unaoga basi fua chupi kila siku ili kila siku uvae chupi safi.Walau uwe na chupi nne ili usipate adha ya kuvaa chupi ambayo haijakauka.
 
noma sana unaenda kupiga au kupigwa bao halafu chupi mzee ichafu na inatoa harufu sijui inakuaje au utaahirisha kwanza uwende ukachange na jee kama ukamkuta mwenzio chupi hana kaja mtupu utafikiriaje ?
 
noma sana unaenda kupiga au kupigwa bao halafu chupi mzee ichafu na inatoa harufu sijui inakuaje au utaahirisha kwanza uwende ukachange na jee kama ukamkuta mwenzio chupi hana kaja mtupu utafikiriaje ?

Aisee, huku bondeni niliko mbona wanawake ( sijui kwakuwa mara nyingi wanavaa jeans) huwa hawavai chupi hivyo mambo huwa sio complicated na yankuwa yamerahisishwa sana!!! hivyo ishu za chupi sanasana huwa hazipo.....hahahaaaaaaaa
 
noma sana unaenda kupiga au kupigwa bao halafu chupi mzee ichafu na inatoa harufu sijui inakuaje au utaahirisha kwanza uwende ukachange na jee kama ukamkuta mwenzio chupi hana kaja mtupu utafikiriaje ?

Ndio maana wanasemaga sijajiandaa!
 
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo

  • Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
  • Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
  • Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
Unaweza kuongeza maswali au kutoa majibu ambayo hata sijauliza ilimradi yalenge katika kupeana uelewa katika matumizi ya vazi hili nyeti.

Nawasilisha.

kwa kweli ni la msingi swali lako, kwa mwanaume itakuwa inapendeza uvae chupi moja kila siku itakuwa vizuri kama utakuwa na za 2weeks, nikimaanisha kama utaamua kuzivaa zote(1kila siku) bila kufua it will take 2wks kuzimaliza, waweza kuwa na zaidi ya hapo.

Kwa wanawake, mwendo ni huu, jitahidi angalau hata mara 1 kwa week unanunua a pair ya chupi, kama mambo ni magumu kabisa basi hata twice a moon u buy chupi, kuhusu kuwa na ngapi kwa females they need atleast 30 pais za casual na kama 10 pairs kwaajili ya mp, maana huwa hazichanganywi.

Dispose:

males, if ni chupi ya kawaida 6 months, boxer-shorts 10 months or less depending na mfuko

females, best is 3 moon kama ni kauka nikuvae au 5-6 moon kama ziko nyingi.

Ni mtazamo wangu tu
 
Ili kutunza usafi unahitaji kuwa na CHUPI MBILI - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise Soksi. :smile-big::smile-big:

Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.


Wewe kweli kiboko! Nimeipenda style yako ya kubana matumizi
 
Chupi ni kitu kidogo lakini chenye athari nyingi - usipokuwa msafi waweza kupata magonjwa.
Cha kuzingatia ni vifuatavyo:
1. Kama walivyosema wengine vaa chupi safi kila mara - ukioga asubuhi hakikisha huvai chupi uliyokwishavaa hata kama uliivaa kwa masaa machache. Ukioga kama ni mchana pia vaa nyingine safi.Usiku lala bila ni vizuri kwa afya yako.

2.Kuhusu idadi - jinunulie za kutosha kulingana na mahitaji ( Usafi)
Hakikisha unavaa chupi za kiwango - haina maana bei ghali bali mfano material iliyotengenezewa. Cotton au pamba ndio recommended.

3.Ukiwa na uwezo basi nenda na wakati.
Tahadhari - G-string a.k.a thong - japo ni fashion , siyo nzuri kwa afya yako.

Wapo wanaume wanaodhani hawahitaji kuwa na idadi ya kutosha ya kivazi hiki - hii ni kosa.

Pia kumbuka kuachana na kivazi hiki kama unavyobadilisha mswaki! Usikae nacho weeeee hata kama unakipenda vipi.

Ushauri huu ni kwa wote wanawake na wanaume
 
unaweza kuwa naidadi yoyote mradi zisipungue mbili.inategemea na shughuli zako za kila siku.
pia kwa wale wenye tabia ya kurundika chupi ndo wanafua(japo si tabia nzuri kwa afya) basi wawe nazo kuanzia nane kwamba ya j2 hadi jumamosi anazifua huku moja ya nane kaivaa.:glasses-nerdy:
tehe tehe :bounce::bounce:
 
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo

  • Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
  • Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
  • Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
Unaweza kuongeza maswali au kutoa majibu ambayo hata sijauliza ilimradi yalenge katika kupeana uelewa katika matumizi ya vazi hili nyeti.

Nawasilisha.

Kwanza mimi sivai chupi kabisaaaa! Nilishaacha enzi za VP

Swali lako la tatu ni tata kidogo hasa kutokana na ukweli kuwa chupi nyingi leo ni 'made in china'. ni ngumu kutathimini utai-dispose baada ya muda gani.
 
Wewe ni wa kike au wa kiume!jieleze vizuri!kama ni punga nafikiri utahitaji chupi nyingi zaidi!!!
 
Mzee inategemea na shughuli zako, lakini kiukweli takriban chupi 10 kwa wanaume na 15 kwa mwanamke.
Dume badili chupi mara 1 na Mke ni mara 2 mpaka na kuendelea.
Life span ya nguo kawaida ni kila baada ya dobi miezi 3 ila kimaskini hata ndo kama wasemavyo waungwana juu huko.

KIBWAGIZO: chupi mpya
Ukiona mkeo cku imevaliwa mpya ndo tayari...kuku kuingia bandani.
 
Chupi 7tosha mpa uone lastic inalegea ndo unaruhusiwa kununua zingine ila kila siku moja unafua unatungua nyingine!!hata hivyo nilipokuwa msingi naenda olevel nilikuwa na chupi 3,moja 007,mbili VIP habari ndo hiyo walio vaa 007 wanajua kwanza lazima wanigonge senkis kwakuwa nilikuwa nimejitahidi.
 
inategemea na shughuli zako kama ni mchukuzi inabidi uwe na chupi kibao ili usije ukasababisha mengine basi elewa ya kwamba idadi inategemea na matumizi au shughuli zako kama wa ofisini kata hata wiki maana ni umande kibao itachafuka mida gani then ktk usafiri wako.<br />
Conquest-chupi za nini na mie msela<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/nono.gif" border="0" alt="" title="Nono" smilieid="233" class="inlineimg" />
<br />
<br />
Nakijipensi cha jeans!!!!!!kama mchukuzi noted!!
 
Back
Top Bottom