katelero
JF-Expert Member
- May 31, 2010
- 529
- 84
ukivaa chupi kitu itapinda
nini hiyo inapinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukivaa chupi kitu itapinda
Hata ukiwa na moja ilimdari iwe safi tu
nini hiyo inapinda
noma sana unaenda kupiga au kupigwa bao halafu chupi mzee ichafu na inatoa harufu sijui inakuaje au utaahirisha kwanza uwende ukachange na jee kama ukamkuta mwenzio chupi hana kaja mtupu utafikiriaje ?

Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo
Unaweza kuongeza maswali au kutoa majibu ambayo hata sijauliza ilimradi yalenge katika kupeana uelewa katika matumizi ya vazi hili nyeti.
- Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
- Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
- Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
Nawasilisha.
Ili kutunza usafi unahitaji kuwa na CHUPI MBILI - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise Soksi. :smile-big::smile-big:
Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.
usitupotezee mda.
Sisi tunajadili muktabali wa nchi na sio huu upuuzi.
tehe tehe :bounce::bounce:unaweza kuwa naidadi yoyote mradi zisipungue mbili.inategemea na shughuli zako za kila siku.
pia kwa wale wenye tabia ya kurundika chupi ndo wanafua(japo si tabia nzuri kwa afya) basi wawe nazo kuanzia nane kwamba ya j2 hadi jumamosi anazifua huku moja ya nane kaivaa.:glasses-nerdy:
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo
Unaweza kuongeza maswali au kutoa majibu ambayo hata sijauliza ilimradi yalenge katika kupeana uelewa katika matumizi ya vazi hili nyeti.
- Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
- Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
- Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
Nawasilisha.
<br />inategemea na shughuli zako kama ni mchukuzi inabidi uwe na chupi kibao ili usije ukasababisha mengine basi elewa ya kwamba idadi inategemea na matumizi au shughuli zako kama wa ofisini kata hata wiki maana ni umande kibao itachafuka mida gani then ktk usafiri wako.<br />
Conquest-chupi za nini na mie msela<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/nono.gif" border="0" alt="" title="Nono" smilieid="233" class="inlineimg" />