Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushirikiano unapoulizwa kitu na usiwe na hasira humu hivyo ni vitu vya kawaida humu usichukulie kila kitu serious kuna watu tofauti tofauti otherwise nakutakia mapambano memaNdo mambo sipendi
Ma comment kama haya ndo yanafanya wengine waogope kusema shida zao na huku kweli wana shida.
Uko mwza Town???Habari za muda huu kwenu nyote.
Mimi ni mdada naishi Mwanza (elimu naona hata uzito kusema ndo maana Natafuta kazi yoyote ila isiwe ya bar, but anyway nina degree)
Naomba Kwa yoyote mwenye kufahamu ninapoweza kupata kazi yoyote ya halali anayoweza fanya mdada, mkoani Mwanza aniunganishe wapendwa maisha yanakua magumu mno, nahitaji kupata kazi nisukume walau gurudumu.
Asanteni.
Sawa nimekuelewa.Toa ushirikiano unapoulizwa kitu na usiwe na hasira humu hivyo ni vitu vya kawaida humu usichukulie kila kitu serious kuna watu tofauti tofauti otherwise nakutakia mapambano mema
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu vyote hivyo najua nilipaswa kuweka ili kurahisisha, haipaswi mtu kuanzia kuniuliza na wakati mi ndo nina shida.Ni bongo pekee mtu anaomba kazi lakn kuweka wasifu wake hataki (CV)
Sasa hao wanaotaka kukuajiri waoteee umesomea kitu gani
Zpo Kaz znahtaj umri Fulani elimu Fulani
Mwisho wa siku utasikia dada yetu Naye ana PhD Kama Babu tale
Wazee wa dead-ball wapoKimasihara, litapigwa jitu hapa.