Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Pole sana dada Mikopo, najua unachoka na mengi ya nyuma na ya sasa 😂nimeokoka sitaki kuwa malaya tena.
2000$😎Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa malaya tena.
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.
Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.
Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.
Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
mii nipoUpo wapi. Yupo wapi
Ngoja niku DM mkuu wanguUpo wapi. Yupo wapi
acha uchawi wewe hujakuwa tuPole sana dada Mikopo, najua unachoka na mengi ya nyuma na ya sasa 😂
Ila once malaya, always malaya.
Acha uchawi, kuna nyakati za kuwa serious na kuleta utani😂 Lengo la mtoa mada ni uzi wake ukae jukwaa la mapenzi ila mods wakaona hii ni ishu ya mambo ya ajira 😂
Upo serious niku DM? Pesaa sio tatizo, money is a tool2000$😎
wewe huna connection hiyo
Yaan unataka uhamisho atoke porin ahamie mjini sioUpo serious niku DM? Pesaa sio tatizo, money is a tool
Ndo maana yake mkuu, una connection.. na sio mji mkubwa hataYaan unataka uhamisho atoke porin ahamie mjini sio
Ndo mahali tulipofikishwa kaka, sasa unafanyaje, hakuna namna itabidi tu iwe hivo, sio kwamba napenda kutoa bali nawahurumia wananguHiki ni kielelezo kuwa hii inchi inahitaji reforms....Imagine suala kama hilo mpaka mtu uhonge.
Nishatapeliwa mwezi wa pili jamaa akapita hivi na fedha zangu... hii Tanzania ngumu sanamtoa mada unatafuta kutapelixa
SawaNdo maana yake mkuu, una connection.. na sio mji mkubwa hata
Mungu akusaidie ukafanikiwesio kwamba napenda kutoa bali nawahurumia wanangu
Sawa mkuu, ngoja nisubirie habar njema sioSawa