Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo

Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.

Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.

Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.

Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.

Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
Kama namwona mwenyekiti was Kijiji akimpelekea kuku vile! Nae kachoka huko wapo was kumwondolea upweke kuwa na amani.
 
Kama namwona mwenyekiti was Kijiji akimpelekea kuku vile! Nae kachoka huko wapo was kumwondolea upweke kuwa na amani.
Hahahahaa... huwa naendaga huko machakani kumlegeza nyonga kidogo... kama hatosheki hata tukiwa wote hapa ata cheat tu... issue ni kuwa karibu na watoto
 
Kasema kwake pesa sio tatizo, tunamrahisishia amfungulie day care wifi ili asiharibu career yake 😹
Sasa stress zote za Day care mkuu, ikibumba inakuwaje akati ashazoea kwenda kwenye ATM kupulizwa na upepo wa hela zikitoka. Si ndo kukaribisha pepo la ugomvi ndani ya nyumba

Una feli kuwa mama ushauri, we utanipoteza kabisa na mambo yako ya day care. Unataka yule mmachame anichinje... sidanganyiki 🤣🤣
 
Uko sawa kabisa 😂
Day care nayo ni kule kule kwenye ualimu tena atakuwa kajiajiri
Huko kwenye day care mtaniingiza chaka la miba. Ninazijua vema biashara... ibume halafu nitamuangalia mwenzangu kwa jicho lipi na hapo nimemuaxhisha kazi? 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa stress zote za Day care mkuu, ikibumba inakuwaje akati ashazoea kwenda kwenye ATM kupulizwa na upepo wa hela zikitoka. Si ndo kukaribisha pepo la ugomvi ndani ya nyumba

Una feli kuwa mama ushauri, we utanipoteza kabisa na mambo yako ya day care. Unataka yule mmachame anichinje... sidanganyiki 🤣🤣
Km mmachame mfungulie itafanya vizuri labda km upo kuchangamsha kijiwe una pesa na kumbe huna..!! 😹
 
Back
Top Bottom