Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Yule usiyemwitaji yeye anakuhitaji atatunza mtoto , serious😹😹 Acha nijaribu ila wa kuzaa nao sasa wohi.!!
Yule usiyemwitaji yeye anakuhitaji atatunza mtoto , serious😹😹 Acha nijaribu ila wa kuzaa nao sasa wohi.!!
Kweli mahi 😹We muongo najua
Mi nataka aendelee kuwa mwalimu ndo maana napambana kumuhamisha. Kumuachisha kazi naichukulia kama selfish act, nikifa kesho je???
Hapo sasa unabetia Simba kwa Yanga 😹Yule usiyemwitaji yeye anakuhitaji atatunza mtoto , serious
Kwani yeye anataka Mkae pamojaWakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.
Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.
Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.
Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
Boost na vitunguu saumu,katakata vipande vinne meza na maji Kila ifikapo muda wa kulala ili ukiamka usiwe na kiharufu Cha vitunguu saumuMayai yamepigwa sana na P2 mpk yanagoma kudaka mimba 😹😹😹
🤣🤣🤣 Kweli humtaki aisee🙌Hapo sasa unabetia Simba kwa Yanga 😹
Sasa wewe si dada wa mishe mishe, kukimbizana na pesa aka business owner mimba itakutoa kwenye reli.. hahaha fanya u adopt tu mkuuWewe mbona huja-adopt umefanya matusi mpk umewapata 😹
Ngoja nimtumie na shemeji yako aone dawa 😍Boost na vitunguu saumu,katakata vipande vinne meza na maji Kila ifikapo muda wa kulala ili ukiamka usiwe na kiharufu Cha vitunguu saumu
Inshallah,na ikawe hivyo🙏🙏🙏Ngoja nimtumie na shemeji yako aone dawa 😍
Mwaka hauishi lazima niteme mate 🤣
😹😹😹🤣🤣🤣 Kweli humtaki aisee🙌
Ni siri nenda pm utaambiwaAtoke wapi aende wapi
Mishe mishe za biashara na kupiga show za kutafuta mtoto zinahusiana nini?? 😹😹Sasa wewe si dada wa mishe mishe, kukimbizana na pesa aka business owner mimba itakutoa kwenye reli.. hahaha fanya u adopt tu mkuu
Unajitahidi kunichuza nizae kasongo 😹Inshallah,na ikawe hivyo🙏🙏🙏
🤣🤣🤣 Uzae nani cute?Unajitahidi kunichuza nizae kasongo 😹
Ngojaa nije inbox mkuuAtoke wapi aende wapi
KASONGO 😹🤣🤣🤣 Uzae nani cute?