Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
mficha nini....hazai?; ila nataka nikuamishe wewe tuishi pamojaNi siri nenda pm utaambiwa
mficha nini....hazai?; ila nataka nikuamishe wewe tuishi pamojaNi siri nenda pm utaambiwa
Tukaishi mars au?mficha nini....hazai?; ila nataka nikuamishe wewe tuishi pamoja
Popote nitakapokuwepo, na hizi mvua hizi ata sijielewi elewiTukaishi mars au?
Sema hata sio siri kivile.. sema ndo hivo. Id feki zinatugharimu nafsiNi siri nenda pm utaambiwa
Hamna ugumu kusema anatoka Iramba kwenda Dodoma jiji, sasa shida yako mkuu afu tena maboss tuanze kukupm pm 😁Sema hata sio siri kivile.. sema ndo hivo. Id feki zinatugharimu nafsi
pole sana mm niliteseka sanaWakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.
Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.
Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.
Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
Daah kwa kweli aisee... boss mkubwa.. ni kutoka Mara kuja Moro hapo najua sijakwaza maboss... hahahahaHamna ugumu kusema anatoka Iramba kwenda Dodoma jiji, sasa shida yako mkuu afu tena maboss tuanze kukupm pm 😁
Ikawaje kufanikiwa??P
pole sana mm niliteseka sana
Pole sana kamanda wa vita, tamisemi wamekulazimisha kuifahamu Tanzania yako nchi ya maziwa na asali.Hii nchi Kuna sehemu ni vichaka aisee acha kabisa. Yaani nimeenda sehemu mama ntiilie wote eneo Hilo wanapika chai , chapati maandazi na hiyo ni kuanzia asbhi mpaka usiku hakuna cha kupika ugali Wala wali pia hawajui kupika kabisa yaani mateso makubwa. Siku ya 5 Leo nashindia maziwa ya ngombe na chapati
Tamisemi ni nyoko.
Fursa hiyo! jiandae kutandikwa kisawa sawa na maofisa wa mchongo wa TAMISEMI kitengo cha uhamisho wa watumishi wa umma , maana umewatafuta mwenyewe.Wakuu wa kazi, upweke utaniua mwenzenu na nimeokoka sitaki kuwa na nyumba ndogo
Mwenzangu ni mwalimu huko machakani, elewa neno machakani, ni machakani haswaaa.
Sasa nilijipa matumaini atafanikiwa kuhama baada ya tangazo fulani la msawazo mwaka jana, ila tangu ajaze lile tangazo huu ni mwezi wa sita unaenda ukiisha bila uelekeo wowote, ni kama vile tumepigwa chenga ya mwili.
Niliamini kwamba angetendewa haki ya kufikiriwa uhamisho kwani alikuwa na vigezo vyote sitahiki lakini naona ni kama hili suala halitafanikiwa.
Hivo natangaza kama kuna anayeweza kunipatia connection ya kufanikisha jambo hili. Naomba kupata mtu serious wa kunifanikishia hili suala likakamilika, maana nimechoka na hizi sarakasi za yeye kwenda halmashauri kila siku.
Dau lipo kama unaweza kusaidia njoo DM
Mwendo ni huu huu tu Afisa mipango naona ume add 0 moja lazima kieleweke mwaka huu nipo na wewe mpaka unizalie mapacha beib2000$😎
Kuna ka ukweli lakini... ila wivu ndo unaongezekaWakati mwingine ni vizuri kukaa mbalimbali kutokana na mauzauza ya mahusiano 😜😊
Kwahiyo una maabisha samaki amejileta kwenye nyavu mwenyewe????Fursa hiyo! jiandae kutandikwa kisawa sawa na maofisa wa mchongo wa TAMISEMI kitengo cha uhamisho wa watumishi wa umma , maana umewatafuta mwenyewe.
Mie nipo mkuu😹😹 Acha nijaribu ila wa kuzaa nao sasa wohi.!!
We nae acha umbeaMwendo ni huu huu tu Afisa mipango naona ume add 0 moja lazima kieleweke mwaka huu nipo na wewe mpaka unizalie mapacha beib
sijajua urahisi kwa upande huo wa Elimu mm nipo AfyaIkawaje kufanikiwa??
Ni shida mkuu yaani hata pisi kali hamna kabisa wanaume na wanawake wanafanana sura na maumbo tofauti Yao mavazi tu.Pole sana kamanda wa vita, tamisemi wamekulazimisha kuifahamu Tanzania yako nchi ya maziwa na asali.
Komaa tu kazi ni utumeNi shida mkuu yaani hata pisi kali hamna kabisa wanaume na wanawake wanafanana sura na maumbo tofauti Yao mavazi tu.
pamenichosha kwakweli sjioni muda mrefu huku hata kazi nitaacha wakinigomea uhamisho pumbavu zao.