Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Hebu niambie lini utaacha ukorofi maana 😂😂😂
Wewe na huyu dada yako na mawazo yenu ya day care yashindwe.. unafungua day care kesho manispaa wanakuletea list ya vibali huku TRA wanakungoja nje uwape kodi.... hahahaaaa
 
Kama hela ipo kama unavyosema tafuteni biashara nyingine ahamie ulipo...ama ni lazima awe mwalimu?
Biashara jamani mimi Tanzania hii hapana nishasemaga... zinalipa sana najua ila sitaki kuzikimbiza pesa.

Nipo na idea ya NGO ndo naitekeleza kwa sasa halafu mwaka 2028 nakuja na chama changu cha siasa.

Napenda zaidi kuwatumikia watu kuliko kukimbizana na pesa. Ndo maana nafurahi wife ni mwalimu halafu nyinyi mnanishauri aacha hiyo kazi kweli? Akati anatumikia watu

Hiyo kazi yake ina fit my philosophical view kuhusu maisha by 100%
 
Biashara jamani mimi Tanzania hii hapana nishasemaga... zinalipa sana najua ila sitaki kuzikimbiza pesa.

Nipo na idea ya NGO ndo naitekeleza kwa sasa halafu mwaka 2028 nakuja na chama changu cha siasa.

Napenda zaidi kuwatumikia watu kuliko kukimbizana na pesa.
Kila la heri
 
Back
Top Bottom