Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

Chukua uhamisho umfate alipo
 
Mambo ya ndoa bhana...moyo wa mtu ni kiza kinene.... unaweza kuingia gharama kumbe mwenzio hata kuja huko hataki kashapata asali wa moyo wake anafurahia maisha ya chaka....

Mpwa wangu alihonga karibia 2m kumtoa mkewe chaka kumleta town baada ya kukamilisha uhamisho hata miezi miwili haijaisha wameachana....

Haya mambo haya.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…