Nahitaji connections za redioni hasa hasa Crown fm, Mjini fm, Times fm na E fm

Nahitaji connections za redioni hasa hasa Crown fm, Mjini fm, Times fm na E fm

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa

Au kama haitakuwa hivyo, YPP itanisaidia kujipatia maokoto kwa hapo baadae

Nimekusanya tayari vijana zaidi ya 20, wanne kati yao nimewatengeneza kuwa New Yamoto Band, wengine wanaimba ladha nzuri za singeli etc

Twende kwenye lengo: Kama kuna mtu yotote ana-connection na watangazaji wa redio tajwa hapo juu ama redio nyinginezo zinazosapoti sanaa anisaidie kuniunganisha nao, hasa hasa host na presenters wa vipindi vya burudani ambao watafanya interviews (utambulisho) kwa bei nafuu, bei sawa na bure ilikusudi wakitoboa tunagawana hisa. Tayari vijana washaanza kurekodi ngoma

Ni muhimu sana wakuu. Maake kufikia malengo haya, tayari nimeuza kiwanja cha urithi huko Goba
 
Back
Top Bottom