Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!