Nahitaji Coumpany! Yako!

Nahitaji Coumpany! Yako!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!
 
ni wewe tu wanakufanyia huo ubinafsi au kuna na wengine......?
 
Hivi wewe ndio yule jamaa huwa anakuwa kule jukwaa la stress na BAN...???
 
ni wewe tu wanakufanyia huo ubinafsi au kuna na wengine......? [Sidhan kama kuna wanaowafanyia hizo mambo! Maana ktk kuongea na wengne unajua kabisa hapa hakuko sawa!
 
Kama ukiona kila mtu anakufanyia ubaya wewe lakini yuko poa na wengine, basi jiangalie. Huenda tatizo unalo kweli.
 
Huyu kule ndo nyumbani kwake..

Nilikua nataka nijue maana ukiwa unashinda tu kule siku nzima kweli unaweza kukutwa na hali hii aliyonayo sasa....
 
Swadakta Dr Preta...hivi unajua nimekukosa sana mimi, sijui nikuje huko Yaeda Chini...

hebu njoo.......halafu si unajua kuna zile dokumentsi tulitakiwa tubadilishane.....hivi imekuwaje.......?
 
Back
Top Bottom