Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbali mbali
Kuna msemo siku hizi vijana wanasema "URAFIKI BILA PESA, LABDA JELA".

Mtoto wa kiume focus na mishe zako, marafiki utawapata katika utafutaji wako wa kila siku na sio humu.

Huo unaoita UPWEKE, hizo ni Nyege, tafuta Demu zitakuisha. Ila Marafiki utawapata kwenye harakati zako za Maisha.

Be a Man.
 
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.

Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.

ASANTENI
Bro punguza stress
 
Rafiki hebu eleza kidogo sifa zako ili anaekutafuta aone kama urafiki utaleta maana.....

Umri, elimu, kazi, familia kama unayo, hobbies zako nini wapenda nini haupendi. Urafiki ni pamoja na kuendana.....

isijekua hapa mimi mshangazi wa
45 rafiki ana 17, napenda 🍺 rafiki anapenda maombi masaa yote huu urafiki utakua wa njiwa na kunguru, hauexist.
 
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.

Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.

ASANTENI
Wazamani umewapeleka wapi?
 
Back
Top Bottom