FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
- Thread starter
- #41
Beer nakunywa mno maombi sipendi kabisa ushangazi wako sio mbaya miaka yako sio Mingi Sana tunaweza kuwaRafiki hebu eleza kidogo sifa zako ili anaekutafuta aone kama urafiki utaleta maana.....
Umri, elimu, kazi, familia kama unayo, hobbies zako nini wapenda nini haupendi. Urafiki ni pamoja na kuendana.....
isijekua hapa mimi mshangazi wa
45 rafiki ana 17, napenda 🍺 rafiki anapenda maombi masaa yote huu urafiki utakua wa njiwa na kunguru, hauexist.