Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.

Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.

ASANTENI
Lenga mbali kijana, jiunge na vijana wa CCM uwe kada huko, ujijengee misingi mizuri ya siku za usoni.
 
Siko interested na siasa za CCM sababu Mimi sio mnafiki

My mouth has no filliter
 
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.

Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.

ASANTENI
Ni aina gani ya marafiki unawahitaji weka wazi maana waweza kuwa unahitaji wafanyabiashara,halafu tukajitokeaza washauri nasaha au wakulima.
 
Back
Top Bottom