Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Mimi rafiki yangu hela tu sina marafiki kabisa
Marafiki zangu walikuwa shule ya msingi basi
Achana na mambo ya urafiki kijana tafuta hela wapambe watakuja tu
 
Waonekana kichwani hamna kitu ndio maana wanakukimbia au una tabia za kipumbavu na za kishenzi.


Zingatia hayo mambo hapo juu, utakomboka
 
Siko interested na siasa za CCM sababu Mimi sio mnafiki

My mouth has no filliter
Sijakueeza habari ya siasa, nimekueleza habari za kupata "circle" mpya zenye manufaa.

Siasa ni mtazamo wako tu, unafik ni wa mtu boinafsi kama ulivyo wewe, huelewi hata tofauti ya "circle" na "cycle". Kama si unafik ni nini huo?
 
Nafanana na Mungu mkuu sababu alituumba kwa mfano wake
Nukuu za biblia ama nukuu zozote za kidini hazifai kutumiwa kutolea mifano ya kimaongezi, kwa sababu imejaa mafumbo ya kutafakarisha yanayostahili tafsiri!

Unaelewa kuwa kuumbwa kwa mfano wa Mungu haina maana unayofasiri wewe hapa.

Maana ya kufanana na Mungu katika muktadha wa kufanana naye ni kwa 'Roho na akili za ufahamu na utashi' siyo kwa mwili wa nyama.

Kwa jibu ulilompatia aliyekuomba picha umemaanisha sisi binadamu tumefanana na Mungu kisura, kwa jibu hilo tayari umemkufuru Mungu.
 
Back
Top Bottom