Do salaaleh, MTU anayejitambua anakubali mshahara wa 70,000 kwa mwezi?Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
Kwa mshahara huoutawapata lkn ujue hawajitambui. Elewa mtu asiyejitambua utamuacha na mwanao mchana kutwa.