Do salaaleh, MTU anayejitambua anakubali mshahara wa 70,000 kwa mwezi?Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox π₯
Ila kumbuka 70k ni T.H.Do salaaleh, MTU anayejitambua anakubali mshahara wa 70,000 kwa mwezi?
Kwa mshahara huoutawapata lkn ujue hawajitambui. Elewa mtu asiyejitambua utamuacha na mwanao mchana kutwa.
Pamoja na kitita hicho cha posho pia ni muhimu zaidi kijua kitita cha mshahara, weka wazi kuhusu mshahara.Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox π₯
Hiyo 70,000/= ni posho tofauti na mshahara.Do salaaleh, MTU anayejitambua anakubali mshahara wa 70,000 kwa mwezi?
Kwa mshahara huoutawapata lkn ujue hawajitambui. Elewa mtu asiyejitambua utamuacha na mwanao mchana kutwa.
Huwa inashangaza mnoo mkuu. Asilimia kubwa wanalipwa kati ya 30 mpaka 50. Na wachache ni 70 mpka laki. Tunaona huko uraiani, lakini wenzetu wakiwa hapa jf wanajifanya matawi kinomaIla kumbuka 70k ni T.H.
Ni nje ya gharama za kula, usafiri, kulala na mavazi(kwa wengine).
70k mbona nyingi, kuna wanaolipwa 50k,Do salaaleh, MTU anayejitambua anakubali mshahara wa 70,000 kwa mwezi?
Kwa mshahara huoutawapata lkn ujue hawajitambui. Elewa mtu asiyejitambua utamuacha na mwanao mchana kutwa.
Akijitambua hatokubali posho ya Ths 70000.Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox π₯
Kwa hiyo elfuelfu zikiwa sabini ni malipo manono?Wanalipwa hivyo kwa sababu ya umasikini tu.Huwa inashangaza mnoo mkuu. Asilimia kubwa wanalipwa kati ya 30 mpaka 50. Na wachache ni 70 mpka laki. Tunaona huko uraiani, lakini wenzetu wakiwa hapa jf wanajifanya matawi kinoma
Aongeze mimi nitakuja Dodoma, π₯Ongeza kidogo Babaa jukumu la kulea mtoto kama wake na kazi zingine motisha iwepo babaaa
Anakula kwa bossDo salaaleh, MTU anayejitambua anakubali mshahara wa 70,000 kwa mwezi?
Kwa mshahara huoutawapata lkn ujue hawajitambui. Elewa mtu asiyejitambua utamuacha na mwanao mchana kutwa.