NgimbaErick
Senior Member
- Mar 31, 2020
- 108
- 167
mrefu au mfupi..?π€£Mweupe au mweusi
Mnene au mwembamba?mrefu au mfupi..?π€£
Kwanini asilipweKwa usalama wa huyo dada itabidi nawewe ufanyiwe interview!, baadae isije kesi mtu hajalipwa!
Wewe niyoyote tu cha msingi uaminifu
sababu ni kitu muhimu zaidiWewe ni
kingunge au kibopar, mbona neno uaminifu umelijaza peji?
Sasa unamfokea nani...πSijaelewa ni nini dhamira ya hizi comments , je nimeongea kitu offensive au ni kwamba kazi hii ni kwa ajili ya mabinti tu?
ninauliza swali labda kuna changamoto mahaliSasa unamfokea nani...π
Achana nao Mkuu. Watakupasua kichwa Bure. πSijaelewa ni nini dhamira ya hizi comments , je nimeongea kitu offensive au ni kwamba kazi hii ni kwa ajili ya mabinti tu?
Nina Mke ila hayupo kwa sasa kutokana na uzazi, na nyumba yangu ni kubwa. Pia nipo busy sanaFanya uoe mkuu
Hamna changamoto yeyote mkuu, sema umejizungusha sanaaa.....πninauliza swali labda kuna changamoto mahali
mkeo ndio alikua dada wakazi?Nina Mke ila hayupo kwa sasa kutokana na uzazi, na nyumba yangu ni kubwa. Pia nipo busy sana