Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

Jamani mbona tunakatishana tamaa Watanzania wenzangu , tunasaidiana kama hivi ila watu wanaongea vitu vya kero sana 😂😂 ... Kwa hali hii tutaendelea kugawana tenda kwa undugu asee, maana duuh bado kidogo nifute yani ni kama nimetukana mahali. Hii post nimekopy na kupaste labda inamakosa mnasema.

Au mnataka dada zetu waendelee kuzagaa zagaa mitaani jamani. eeh?
Kwahiyo sisi wanawake tumezagaa zagaa mitaani sio?
 
Kwa hiyo kukosekana kwa mke wako ndiyo kunakufanya ushindwe kufanya usafi wa nyumba, kufua nguo zako, kujipikia, kuosha vyombo, nk!! Umejilemaza sana kijana.

Halafu una nyumba kubwa kiasi gani cha wewe kushindwa kuifanyia usafi, ila mke wako aweze? Uko busy kiasi gani cha kushindwa kujihudumia wewe mwenyewe? Mvivu tu wewe, huna lolote.
Babu niruhusu nichangamkie fursa
 
Suala sio kushindwa kufanya ngoja nikupe somo .... Ukijua umuhimu wa muda , utajua jinsi ya kuutumia. Muda wa kufanya hizi kazi ninaweza nikafanya kazi zangu na kuingiza fedha zaidi hilo kwangu ni muhimu zaidi ... kama si hivyo ungemkuta MO, na Bakhresa wapo busy na usafi wa nyumba zao kila siku.

Nyumba ni kubwa ya vyumba 3, seble , dining, jiko, public , master , uwanja sq700+ .

Tambua umuhimu wa muda , pesa inatafutwa tu. Muda haurudi nyuma.
 
Jamani mbona tunakatishana tamaa Watanzania wenzangu , tunasaidiana kama hivi ila watu wanaongea vitu vya kero sana 😂😂 ... Kwa hali hii tutaendelea kugawana tenda kwa undugu asee, maana duuh bado kidogo nifute yani ni kama nimetukana mahali. Hii post nimekopy na kupaste labda inamakosa mnasema.

Au mnataka dada zetu waendelee kuzagaa zagaa mitaani jamani. eeh?
Wabongo tukiwa hatuna uhitaji kila rangi utaiona ya hapa duniani lakini akiwa na shida kila sura ya huruma,upole,tabathamu na sauti nzuri utasiikia na kuziona mkuu.TUELEWE HIVYO TU NA KUBADIRIKA NI NGUMU
 
Suala sio kushindwa kufanya ngoja nikupe somo .... Ukijua umuhimu wa muda , utajua jinsi ya kuutumia. Muda wa kufanya hizi kazi ninaweza nikafanya kazi zangu na kuingiza fedha zaidi hilo kwangu ni muhimu zaidi ... kama si hivyo ungemkuta MO, na Bakhresa wapo busy na usafi wa nyumba zao kila siku.

Nyumba ni kubwa ya vyumba 3, seble , dining, jiko, public , master , uwanja sq700+ .

Tambua umuhimu wa muda , pesa inatafutwa tu. Muda haurudi nyuma.
Sasa huu muda unaoutumia kupiga porojo humu jukwaani si ungeutumia kufanya hizo kazi! Wewe kubali tu uvivu na kujiendekeza ndiyo sababu kuu.
 
Kama cha msingi ni uaminifu,sasa kwanini unawaomba wakutumie picha zao? huo uaminifu wao utaupima kwa kuangalia picha zao?
Picha imewekwa option si kwa nia ya uaminifu. Kwangu mimi ni vyema kumjua mtu kwa picha kabla sijaonana naye , sababu sitakuwa na interview yoyote. Kama akishindwa kutuma basi sio kazi ya kubembelezwa wenye nia watatuma.

Nawashukuru sana pia ambao wamenicheki nadhani nitalifunga tu tangazo. Asanteni wapondaji pia 😂
 
Kwa hiyo kukosekana kwa mke wako ndiyo kunakufanya ushindwe kufanya usafi wa nyumba, kufua nguo zako, kujipikia, kuosha vyombo, nk!! Umejilemaza sana kijana.

Halafu una nyumba kubwa kiasi gani cha wewe kushindwa kuifanyia usafi, ila mke wako aweze? Uko busy kiasi gani cha kushindwa kujihudumia wewe mwenyewe? Mvivu tu wewe, huna lolote.
Tena ana mashine ya kufulia kaka..😁
 
Hii ni kazi ya muda mfupi kama wiki 2, japo inaweza ikaendelea kama nikihitaji. Shughuli kubwa ni usafi , kupika sio lazima ila utalipwa ukitaka kupika. Malipo ni kwa siku 15k (hakuna kupika). Kazi ni ya kwenda na kurudi , kulala hakutakuwepo. Mahali nilipo ni GOBA TEGETA A.

Job Type - Temporary (kazi ya muda)

Responsibilities

- Kusaidia kusafisha nyumba kwa siku kadhaa ndani ya wiki - kusafisha maliwato- kusafisha vyombo - kupika (sio lazima)- Usafi wa nje ya nyumba - kufua na mashine ya kufulia n.k.

Requirements & Skills
Usafi, Unadhifu, Heshima na Uaminifu.Nàhitaji mtu mwaminifu sana.

Minimum Experience - 1 year

Tuma: Majina yako, Umri, Picha na Mahali unapoishi (tuma whatsapp 0787140943)

Nahitaji mtu ndani ya siku hizi 2 aanze kazi. Asante sana
Si ukanunue malaya tu
 
Back
Top Bottom