Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

kwa ujira huo alafu ni day tu sio mbaya,,,, !kwa mdada ama mmama aliyepo home tu maeneo hayo , ambaye halazimiki kutumia nauli hii kaz itamfaa ! Kila la kheri chief
 
Mtaani wapo kibao,wamama wa kufua na kuosha vyombo.
 
anaetaka dada wakazi niwewe sio wewe?
 
jamani nimeanza kucheka tu haya majibu hahahah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚'
 
Nina Mke ila hayupo kwa sasa kutokana na uzazi, na nyumba yangu ni kubwa. Pia nipo busy sana
Kwa hiyo kukosekana kwa mke wako ndiyo kunakufanya ushindwe kufanya usafi wa nyumba, kufua nguo zako, kujipikia, kuosha vyombo, nk!! Umejilemaza sana kijana.

Halafu una nyumba kubwa kiasi gani cha wewe kushindwa kuifanyia usafi, ila mke wako aweze? Uko busy kiasi gani cha kushindwa kujihudumia wewe mwenyewe? Mvivu tu wewe, huna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…