Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

Kwahiyo sisi wanawake tumezagaa zagaa mitaani sio?
 
Babu niruhusu nichangamkie fursa
 
Suala sio kushindwa kufanya ngoja nikupe somo .... Ukijua umuhimu wa muda , utajua jinsi ya kuutumia. Muda wa kufanya hizi kazi ninaweza nikafanya kazi zangu na kuingiza fedha zaidi hilo kwangu ni muhimu zaidi ... kama si hivyo ungemkuta MO, na Bakhresa wapo busy na usafi wa nyumba zao kila siku.

Nyumba ni kubwa ya vyumba 3, seble , dining, jiko, public , master , uwanja sq700+ .

Tambua umuhimu wa muda , pesa inatafutwa tu. Muda haurudi nyuma.
 
Wabongo tukiwa hatuna uhitaji kila rangi utaiona ya hapa duniani lakini akiwa na shida kila sura ya huruma,upole,tabathamu na sauti nzuri utasiikia na kuziona mkuu.TUELEWE HIVYO TU NA KUBADIRIKA NI NGUMU
 
Sasa huu muda unaoutumia kupiga porojo humu jukwaani si ungeutumia kufanya hizo kazi! Wewe kubali tu uvivu na kujiendekeza ndiyo sababu kuu.
 
Inahuzunisha lakini ni kweli, unadhani kuna mtu anapenda kuona dada poa mabarabarani (japo sio wote waliopo huko walikosa kazi, lakini asilimia kubwa)
Anhaa hongera kwa kutoa ajira kwa madada Poa mkuu.
 
Kama cha msingi ni uaminifu,sasa kwanini unawaomba wakutumie picha zao? huo uaminifu wao utaupima kwa kuangalia picha zao?
Picha imewekwa option si kwa nia ya uaminifu. Kwangu mimi ni vyema kumjua mtu kwa picha kabla sijaonana naye , sababu sitakuwa na interview yoyote. Kama akishindwa kutuma basi sio kazi ya kubembelezwa wenye nia watatuma.

Nawashukuru sana pia ambao wamenicheki nadhani nitalifunga tu tangazo. Asanteni wapondaji pia 😂
 
Tena ana mashine ya kufulia kaka..😁
 
Si ukanunue malaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…