Kuna mwanadamu aliwahi kuniambia wanajeshi watakuzingua kwasababu wanaweza kuhisi unawapeleleza makambini mwao mfano ukiwa milimani halafu kambi za majeshi duniani mara nyingi zipo pembezoni mwa milima.
Kuna padri miaka ya sabini alimuona mwizi akimuibia nyumbani kwake vizuri KWA KUTUMIA darubini wakati padri akiwa umbali wa km 6 toka nyumba yake ilipo ! Darubini ni nzuri sana wajameni.