Nahitaji darubini (binoculars) mwenye ujuzi wake juu ya specifications bora na bei

Nahitaji darubini (binoculars) mwenye ujuzi wake juu ya specifications bora na bei

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wandugu nahitaji kununua darubini kionambali naomba kama kuna anayejua aina zake ubora wake bei zake na mahali zinapopatikana hapa tanzania.

Na je sheria hazina tatizo juu ya umiliki wa darubini?

Wajeda hawawezi sumbua nikiwa nayo?

Asanteni
 
Kuna mwanadamu aliwahi kuniambia wanajeshi watakuzingua kwasababu wanaweza kuhisi unawapeleleza makambini mwao mfano ukiwa milimani halafu kambi za majeshi duniani mara nyingi zipo pembezoni mwa milima.
 
Inamaana watanzania hawana utamaduni wa kupenda darubini? Mbona huu uzi sijapata wa mrejesho maana?
 
Kuna padri miaka ya sabini alimuona mwizi akimuibia nyumbani kwake vizuri KWA KUTUMIA darubini wakati padri akiwa umbali wa km 6 toka nyumba yake ilipo ! Darubini ni nzuri sana wajameni.
 
Basi watanzania wengi ni wajinga na mbumbumbu kama hamjui KUTUMIA darubini.
 
Ngoja Wanakuja Usiwe Na Pupa Ya Majibu Kama Unawawekea Bundle Watu
Huku Kilimanjaro Wapanda Mlima Bila Shaka Wanazo Hasa Watalii
 
Back
Top Bottom