Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

Developer umlipe laki 4 kweli?
Yes brother, laki 4 na nilipata. Unajua shida ni nini ndugu? Wapo machalii wengi kitaa wamemaliza degree za IT, kila wanapoenda kuomba kazi wanaambiwa wanahitajika wenye uzoefu wa angalau miaka 2, option nyingine ni wafanye internship sehemu na walipwe nauli tu au pengine wasilipwe kabisa! Si ni afadhali mimi kufanya nao kazi kama intern kwa mshahara wa laki 4 ??? Na isitoshe hiyo laki 4 ni mwanzo tu, siwezi mlipa developer laki 8 au +1M ikiwa ni fresh from school kisa ana degree, ndio maana nilisisitiza UJUZI kwasbabu graduates wengi wanajua baadhi ya languages tu za coding lakini hawawezi kuunda hata software moja ikakamilika kwa urahisi. Na ndio maana mimi nikatafuta programmers 3 kwa laki 4 each, na software developer mmoja kwa 1.5M ili arekebishe na aunganishe kile kinachosukwa na hawa madogo! Anyways vile tunavyosuka vitawekwa hapa pia wakati wa ku-launch.
 
Back
Top Bottom