Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

Nahitaji developers watatu (3), mshahara laki 4 kwa mwezi

Hapa ndo huwa naona tunafeli kwenye eneo la ajira
Imagine kwa sasa hutengenezi hela yoyote upo nyumbani, pengine hata una mwaka nyumbani hujapata ajira bado laki 4 inaonekana ndogo

Si bora hata upate pa kushindia na kudisplay skill yako...na hapa na milango ya connection itakapoanzia
Nashukuru boss! Developers 6 tena wenye degree zao wameomba hii nafasi na tena wametuma sample ya kazi zao, hao wanaoendelea kulia lia kwamba pesa ni ndogo sawa, mi sina neno.
 
Ni technology gani mmesuggest itatumika kwenye web?(au itategemea na skillsets za team utayopata na trending technologies).
Vipi sehemu ya uzoefu unaohitajika au hata beginners?
Nilikuwa nahitaji developers wa Frontend, backend, API, database, Mobile application. Nimeshapata wote, techs ambazo tutatumia ni PHP, Python, Flutter, React, Next JS, MONGO DB, na (HTML, CSS, JS)
 
Wengi tunafeli hapo kwenye kutaka pesa kubwa bila kufanya project, developers walio serious watakuja PM kwako brother
Ni kweli kaka, wameshakuja na tunajiandaa ili July tuanze kazi. Ndani ya miezi 2/3 tutaleta mrejesho hapa wa baadhi ya kazi tulizofanya, lakini pia ndani ya miezi 6 hao walionitafuta watakuwa wakichekelea kwa malipo mapya!
 
Mshahara utaongezwa boss, hiyo ni mwanzo tu ili tuone utendaji kazi wao. Ndomana hatutawaandikia mkataba hadi wakamilishe hiyo project moja tuwaone, then mkataba mdogo wa miezi 6 kwa mshara wa laki 4, na baada ya hapo tunaweza kuwalipa hadi laki 7 muhimu wafanye kazi nzuri boss.
Boss hata kwa 700k per month huwez pata
 
Coding is an art brah bt kwa Newbee utapata maana watapatia experience hapohapo na instead ov that itabid uongeze mpunga
Ni kweli, mimi naangalia ujuzi wa hao niliopata, muhimu wanaweza kufanya ninachokihitaji. Mengine watajifunza mbele kwa mbele.
 
Hapa ndo huwa naona tunafeli kwenye eneo la ajira
Imagine kwa sasa hutengenezi hela yoyote upo nyumbani, pengine hata una mwaka nyumbani hujapata ajira bado laki 4 inaonekana ndogo

Si bora hata upate pa kushindia na kudisplay skill yako...na hapa na milango ya connection itakapoanzia
Wengi akili zao zipo kama walivyokua kabla ya kupata elimu
 
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure

⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771

NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
 
Bila shaka una wazimu
Hata Elon Musk kipindi anaanza aliambiwa haya maneno, nashukuru brother... Siku nitakapoanza kufanyiwa interviews nitaorodhesha comment yako ionekane live ili izidi kuwajenga vijana wanaoonekana wana wazimu kwa kupambania ndoto zao.
 
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure

⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771

NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
Shukran boss!
 
Back
Top Bottom