Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
- Thread starter
- #21
Nashukuru boss! Developers 6 tena wenye degree zao wameomba hii nafasi na tena wametuma sample ya kazi zao, hao wanaoendelea kulia lia kwamba pesa ni ndogo sawa, mi sina neno.Hapa ndo huwa naona tunafeli kwenye eneo la ajira
Imagine kwa sasa hutengenezi hela yoyote upo nyumbani, pengine hata una mwaka nyumbani hujapata ajira bado laki 4 inaonekana ndogo
Si bora hata upate pa kushindia na kudisplay skill yako...na hapa na milango ya connection itakapoanzia