Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Msenge huyo, amefata maokoto pasipo kupendwa, kisa huyo mwanaume anafanya kazi serikalini na anapata semina zenye marupurupu Kila siku, ndo maana ana mng'ang'ania, si ajabu akiambiwa atoe ata mkundu atatoa na ataliwa, ila Bado atafukuzwa ka mbwa maaaaamae zake.

Mpende akupendaye asie kupenda temana nae
Huo sio upendo wa pesa kijana.
Wanawake hawaeleweki ndgu.

Wewe umekalili kua wanapenda pesa tuu, ohoo utaachwa ndgu.

Huyo binti akiulizwa anampendea nini huyo kijana atajibu hata yeye hajui
 
pole kwa yaliyotokea, ila ukimpata mwingine punguza kuwa mtu wa kulazimisha mambo yaende namna unavyotaka wewe pia punguza kusikiliza maneno ya watu itakusaidia sana maana mapenzi ni ya wawili.
 
Tuone picha yako kwanza... eniwei, mapenzi ni upofu so move on ingawa ni ngumu ila utaweza tu, na uwe makini sana maana kipindi hiki unachohitaji faraja ni rahisi kujikuta umeliwa kimasihara.
 
Ni kweli unaweza kumpenda mtu hadi ukawa kama mwehu namwelewa mtoa mada hali anayoipitia
Kijana haelewi anadhani kila mwanamke anempapatikia mtu basi huyo mwanaume ana pesa sana au anahonga sana.

Ni athari za kutoswa kisa kipato, kila dem utaona ni tapeli na mpenda pesa hata akiomba umsaidie sh 100 akwangulie vocha.
 
Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.

Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.

Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.

Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !

Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .

Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka

NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
My dear it's raining anywhere


Jipe muda yatapita Hawa viumbe ni wakuwapa mbususu tu moyo wako Baki nao mwenyewe
 
Back
Top Bottom