Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Acha kung'ang'ania mtu asiekupenda, utaliwa mpaka mkundu kama hupendwi hupendwi tuu, usilazimishe mapenzi, mpende akupendaye asie kupenda achana nae
Aseee 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kung'ang'ania mtu asiekupenda, utaliwa mpaka mkundu kama hupendwi hupendwi tuu, usilazimishe mapenzi, mpende akupendaye asie kupenda achana nae
Nimesamehe na kujisamehe tu lazima maisha yaendeleeMsomee KURJUAAAAAAN huyo
Hiyo ni chumvi aliongeza mpaka hapa nadhani hii ni ☕Mtu anakushikia panga akuue ww unasema bado unampenda?
Hii kiboko aiseee.
Mbona unapenda kijinga hivyo? Umelogwa?
Nimecheka sana eti panton la kuvusha bar meditafuta mwanaume mwingine akukande vizuri utamsahau hilo pantoni lako la kuvusha baa medi
Hapa kazi tu - here job only.
King'ang'anizi waheda, tafuta mume muowane. Unajuwaje kama hauna maradhi? Umepima?Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Nope namba yako.Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Amedata na pesa pamoja na status ya jamaa, acha liuwawe tuu, tamaa mbele mauti nyumaHuo sio upendo wa pesa kijana.
Wanawake hawaeleweki ndgu.
Wewe umekalili kua wanapenda pesa tuu, ohoo utaachwa ndgu.
Huyo binti akiulizwa anampendea nini huyo kijana atajibu hata yeye hajui
Status ya jamaa sikudatishwa nayo kama ni pesa mbona alikuwa ananidanga? Ilikuwa ni upendo tuAmedata na pesa pamoja na status ya jamaa, acha liuwawe tuu, tamaa mbele mauti nyuma
Sawa mkuu nilikuwa namuamini sana kumbe upendo wake kwangu ulikuwa wa kinafikiKatoe shukrani ya pekee.
Huo sio upendo wa pesa kijana.
Wanawake hawaeleweki ndgu.
Wewe umekalili kua wanapenda pesa tuu, ohoo utaachwa ndgu.
Huyo binti akiulizwa anampendea nini huyo kijana atajibu hata yeye hajui
Furahi sana, nasema tena furahi kwa tukio hilo.Sawa mkuu nilikuwa namuamini sana kumbe upendo wake kwangu ulikuwa wa kinafiki
Wewe ni mpelelezi?Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa kikazi Dar ( mkoa anaofanya kazi) alinieleza kuwa nisifike kwake nifanye tu kazi iliyonileta.
Nililazimisha kwenda anapoishi alinipokea kishingo upande ila alinitukana sana na kutishia kuniletea polisi. Asubuhi nilienda kwenye majukumu yangu niliporudi kwake nikakuta amevusha mwanamke.
Majirani walinisikitikia sana wanasema kuwa hiyo ni tabia yake kubadilisha wanawake kila siku hasa bar maids! Nilipomkuta huyo mwanamke ndani nilijisikia vibaya nikatoa ya moyoni kwa huyo mchumba wangu na kuondoka Nimekubali tu yaishe nisije kupata maradhi kwa kung'ang'ania mwanaume mwenye wanawake wengi !
Hapa niliponinayo namaumivu yasiyo elezeka kwa sababu amenioneshea live huyo mwanamke! Majirani wananieleza afadhali hata umeona mwenyewe kuliko wangesema wao tabia yake ya kubadilisha wanawake hasa bar maids .
Huyu aliyekuwa mchumba wangu ni mfanyakazi wa serikali anaepata seminar mikoa mbalimbali ila kila siku ananiomba pesa ninavyomdai anazua ugomvi. Baadhi ya majirani wanasema ni tabia ya kuhongwa na wanawake (anapenda mserereko) kweli nimeamini fimbo ya mbali haiui nyoka
NAHITAJI FARAJA YENU WAKUU KUACHANA NA MTU UNAYEMPENDA NI MSIBA MZITO
Hahahahaha..we si nasikia unasemaga Niue mie siendi popote, 😅😅😅. ..unavyopendaEti anashikiwa panga anasema anampenda bado 😹😹😹
Kuna raia wanapenda vibaya, mimi nikiona mtu anatukana simtaki tena.
Yeye panga katulia anaona kawaida
Poleamenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.