Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Huo sio upendo wa pesa kijana.
Wanawake hawaeleweki ndgu.

Wewe umekalili kua wanapenda pesa tuu, ohoo utaachwa ndgu.

Huyo binti akiulizwa anampendea nini huyo kijana atajibu hata yeye hajui
 
pole kwa yaliyotokea, ila ukimpata mwingine punguza kuwa mtu wa kulazimisha mambo yaende namna unavyotaka wewe pia punguza kusikiliza maneno ya watu itakusaidia sana maana mapenzi ni ya wawili.
 
Tuone picha yako kwanza... eniwei, mapenzi ni upofu so move on ingawa ni ngumu ila utaweza tu, na uwe makini sana maana kipindi hiki unachohitaji faraja ni rahisi kujikuta umeliwa kimasihara.
 
Tuone picha yako kwanza... eniwei, mapenzi ni upofu so move on ingawa ni ngumu ila utaweza tu, na uwe makini sana maana kipindi hiki unachohitaji faraja ni rahisi kujikuta umeliwa kimasihara.
Siwezi liwa kimasihara mkuu labda nitake mwenyewe kuliwa
 
Ni kweli unaweza kumpenda mtu hadi ukawa kama mwehu namwelewa mtoa mada hali anayoipitia
Kijana haelewi anadhani kila mwanamke anempapatikia mtu basi huyo mwanaume ana pesa sana au anahonga sana.

Ni athari za kutoswa kisa kipato, kila dem utaona ni tapeli na mpenda pesa hata akiomba umsaidie sh 100 akwangulie vocha.
 
My dear it's raining anywhere


Jipe muda yatapita Hawa viumbe ni wakuwapa mbususu tu moyo wako Baki nao mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…