Nahitaji faraja yenu wakuu. Kuachana na mtu unayempenda ni msiba mzito

Nipo hapa baba ma love love โค๏ธ ๐Ÿ˜˜.karibu PM iko wazi.
Asante.





Kazi ni kipimo cha UTU
 
Amedata na pesa pamoja na status ya jamaa, acha liuwawe tuu, tamaa mbele mauti nyuma
Haya unadhani kila pisi ni pesa tu, sasa adate na pesa wakati juu hapo kaandika binti ndo alikua anampa pesa kijana..

Umeanza kujihusisha na mapenzi ukiwa na umri gani??
Kama ulianza enzi za barehe basi hiki analofanya huyu binti sio la ajabu kwa mabinti waliotupenda enzi hizo huna hata unachompa ila kadata tu na wewe.
 
ACHA kujibebesha mizigo isiyokuhusu..
Acha "nature" ifanye kazi yake...
"support panapohitajika na unapoweza (usijiumize)

Jipe muda wa kupona moyo na akili yako..
 
real meaning of upendo wa agape

Nilizabwa tu kofi nmegoma kusamehe hadi leo,we mwenzetu hadi panga unashikiwa na unasamehe๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Unakubali vipi mwanaume mwenzio anakuzaba kofi msela Roja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ