Nahitaji freezer la kilo 400

Nadhani mnabishana katika logic tofauti,kuna swala la ujazo( volume) na kuna swala la uzito(weight).
 
Wakuu Habari

Nahitaji Freezer kwa ajili ya kuweka samaki but nataka ambalo ni kubwa linaloweza kubeba hata kilo 400

Naitaji jipya sio mtumba,

Mwenye nalo tafadhali ni_PM niko Dar es Salaam
Za muda? Friza la lita 450 limepatikana.
Used bei poa.
Tshs 550,000 tu
Nitumie sms 0744033555 nikutumie picha whatsapp

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…