Nadhani mnabishana katika logic tofauti,kuna swala la ujazo( volume) na kuna swala la uzito(weight).Ooooh poor you nasikitika kuhairisha mjadala huu sababu inawezekana you are running mad.
Tumia basi common sense kidogo we jamaa.
1Kg ya samaki na 1litre ya distilled water ni tofauti sababu ya density? Seriously!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Duuh kwahiyo mizani haiwezi kubalance?
Oooh Lord have Mercy kama mie wa HKL naweza toa knock out kichwa ya PCM