Nahitaji fundi anayeweza kufunga injini ya toyota kwenye Vogue

Nahitaji fundi anayeweza kufunga injini ya toyota kwenye Vogue

nyundo2017

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,439
Reaction score
861
Habari,nahitaji fundi anayeweza kubadili injini ya vogue na kufunga injini ya tiyota land cruser,urgent
 
Dah acha tu nicheke... maana unachokitafuta utakipata.... [emoji23][emoji23][emoji23]

Labda tu kwa kukusaidia, engine haupachiki tu ilimradi....

Hivi ww kwa akili zako unadhani hiyo engine ya toyota ikikaa kwenye vogue performance yake haitobadilika???
 
nyundo2017 Naomba kuisoma hii sayansi, ukifanikiwa kumpata huyo fundi. Nilishawahi sikia kipindi flani engine za magari tofauti unaweza kuswapp.
 
Habari,nahitaji fundi anayeweza kubadili injini ya vogue na kufunga injini ya tiyota land cruser,urgent
inawezekana kabisa wala asikupinge , swali je hiyo engine ya vogue ni ya diesel au petrol na hiyo ya toyota ni ya diesel au petrol
 
Habari,nahitaji fundi anayeweza kubadili injini ya vogue na kufunga injini ya tiyota land cruser,urgent
Hili ni jambo la hatari.
Rudisha engine nyingine ya vogue kwenye hiyo gari yako.
 
hujaona zhongtong yutong na kina higer zinavovaa scania ...kuna discovery ilifungwa 3s na mambo ni fresh cha msingi tafuta fundi anaejua japo sio engine tu kuweka hapo inabd ueke na gearbox yake control. box na vingne vingi total cost yaweza kuwa mamilion ya hela
 
Mkuu wanakutisha tuu hilo linawezekana lkn hapo inatakiwa kuwa makini sio ilimradi ukaweka tuu engine..lazima uangalie matakwa ya body husika lasivyo utaichukia gari ..

Hapo na maana angalia engine ambayo inapower kuweza kuiendesha hiyo body..

Je gari yako ni automatic transmission au manually??.

Lkn ukubali ukatae kuna vitu utapishana navyo kuna systerm utaja zikosa kabisa kwakufanyia modification.

Kama bado hujafanya hilo zoezi tutafutane mkuu .kama sio mm kuifanya tunaweza shauriana kipo bora cha kufanya ili kuweza kufanikisha..
 
Back
Top Bottom