Nje ya mada kidogo.
Mwaka 1982 nilikuwa napenda sana street racing, nilikuwa na skyline GT nikawa naachwa mbali na dogo mmoja (sio tz)
Nikampata mechanics mmoja kiboko akanibadilishia gear ya kwanza na ya pili kutoka Mazda Rx7 maana Rx7 hakuna gari ilikuwa inaiona kwa kuchomoka kwa 1st, 2nd na third gear, gari ambayo ilikuwa inaikuta baada ya mda ilikuwa ni benz 450 ya 79 ni balaa.
Baada ya hapo jamaa akawa hana ujanja na tip nyingine alinipa akasema akijifanya mjanja kuleta za kuleta kanunue plugs za Porsche funga wakati wa racing tu halafu ziondoe.
Mambo haya yanawezekana sana ila inatakiwa upate fundi mzuri na mtundu wa kazi yake