Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe namba mkuuMkuu wanakutisha tuu hilo linawezekana lkn hapo inatakiwa kuwa makini sio ilimradi ukaweka tuu engine..lazima uangalie matakwa ya body husika lasivyo utaichukia gari ..
Hapo na maana angalia engine ambayo inapower kuweza kuiendesha hiyo body..
Je gari yako ni automatic transmission au manually??.
Lkn ukubali ukatae kuna vitu utapishana navyo kuna systerm utaja zikosa kabisa kwakufanyia modification.
Kama bado hujafanya hilo zoezi tutafutane mkuu .kama sio mm kuifanya tunaweza shauriana kipo bora cha kufanya ili kuweza kufanikisha..
Dah acha tu nicheke... maana unachokitafuta utakipata.... [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tu kwa kukusaidia, engine haupachiki tu ilimradi....
Hivi ww kwa akili zako unadhani hiyo engine ya toyota ikikaa kwenye vogue performance yake haitobadilika???
nyundo2017 Naomba kuisoma hii sayansi, ukifanikiwa kumpata huyo fundi. Nilishawahi sikia kipindi flani engine za magari tofauti unaweza kuswapp.
inawezekana kabisa wala asikupinge , swali je hiyo engine ya vogue ni ya diesel au petrol na hiyo ya toyota ni ya diesel au petrol
0627136700nipe namba mkuu
Ndio mkuu inawezekana tena kwa suzuki sometimes unaweza usifanye modification hata chembe.Naomba nitoke nje ya mada kidogo, inawezekana kupachika injini ya suzuki jimny kwenye Pajero mini?
Thanks mkuuNdio mkuu inawezekana tena kwa suzuki sometimes unaweza usifanye modification hata chembe.
Mkuu ukifanya modification ya Mazda Rx8 kuiwekea engine ya Subaru itakuwa ni moja ya kazi nzuri kutokea.Mm na kazi ya kufanya modification ya estima hybride kuifanya iwe ya kawaida.baada ya kuua mfumo wake wa gearbox ilikata chain.
So natumia engine ile ile zaidi cha kubadili ni front cover pully ya engine unaweka sterling power,compressor,ortanelta,adjust ya fenbelt na nyuma unabadilisha flywhell pamoja na gearbox mchezo umekwisha..
Mbona haya mambo wazungu wanayafanya sana why ss tunatishana?? Sema kitu kimoja wabongo ss ni wavivu na waoga sana..
Mm natafuta mtu mwenye rx8 iliyokufa engine nataka ni swap engine ya subaru bila kubadilisha gearbox yake..
Nipe namba yake,mie nimefunga injini na giabox za rav 4 kwenye freelander huu ni mwaka wa 4 inadundaKuna jamaa alipachika injini ya Rav 4L kwenye Landrover Freelander. Hivi ninavyoandika hapa limesimamia mawe mpaka sasa bode kalii! Inasikitisha sana.
Hii gharama yake yawezakuwa kiasi gani yaani kununua body la vogue,injini na gearbox ya 1kz oamoja na ufundikwa alivyosema ni cruiser engine bila shaka itakuwa ni 1KZ na hii nimeshuhudia mara nyingi watu wakiswap kwenye range sema huwa wanabadili na gear box....
kuna watu hapa wanamtisha mleta mada wakati hata hawajui kitu kinachoitwa engine swap..
mleta mada aende kinondon garage inaitwa 0-60 garage watamfanyia hyo issue tena wale ni wataalamu watampa hadi ushauri mwingine
body mara nyingi halina bei moja maana inategemea na anayekuuzia anakuuzia bei gani na condition ya body lenyewe na year of manufactureHii gharama yake yawezakuwa kiasi gani yaani kununua body la vogue,injini na gearbox ya 1kz oamoja na ufundi