Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

Mkuu Zipo dell na HP zenye nguvu hizi zinakuwa ni workstation kana Dell precision series ama HP Z series etc.

Sio nyingi mtaani ila zipo. Hizo psu zake ni kubwa na unaweza weka Gpu kubwa.

Kutengeneza mwenyewe from scratch 800K budget ndogo hutapata pc kali.

Pia ukicheki vizuri online zipo gaming PC watu wanauza kwa hio budget.

Mfano kama hii

Ryzen 2700x na Gtx 1650 japo sio kali sana specs zake hio pc ina upgrade path nzuri. Uangalie tu na psu yake.
Kwa hali ninayoiona nadhani afikirie gpu zenye ray tracing na dlss.
Tangu fifa 23. Kwenye graphics naona wanaongeza tu vitu vya kusett.

Tusishangae fc27 ikaja ikawa inataka features za dlls na ray tracing pia.
 
Dah ni kitambo ila.. kwa uzoefu wangu nlivokua nafanya, naona ni vizuri utafute spea moja moja ya hardware based na budget + spec zako umazohitaji.
 
Monitor ya hp 1920x1200 resolution 60hz cables nilipewa power cable na cable ya display port
Nisaidie model ya hio work station, ikipendeza na duka pia uliponunua

Monitor nayo ni model gani ulinunua kwa sh ngap
 
Kwa hali ninayoiona nadhani afikirie gpu zenye ray tracing na dlss.
Tangu fifa 23. Kwenye graphics naona wanaongeza tu vitu vya kusett.

Tusishangae fc27 ikaja ikawa inataka features za dlls na ray tracing pia.
Gaming kwenye pc ni expensive halafu wametubana kwenye kona baadhi ya games kama euro truck ngumu kuzikuta kwenye consoles na wanaipendelea zaidi kwenye pc version
 
Tatizo budget mkuu, hapo akijibana Bana labda 1660ti, ngumu kupata Rtx za maana labda 3050 6Gb version afanye pairing na desktop ya kawaida.
 
Gaming kwenye pc ni expensive halafu wametubana kwenye kona baadhi ya games kama euro truck ngumu kuzikuta kwenye consoles na wanaipendelea zaidi kwenye pc version
Tafuta tower yenye rayzen processor. (Hata ikiwa sff si mbaya sana)

Ryzen kuanzia 5 3600g

Utaikuta na ram 8gb
Hdd gb 500 ama sdd gb 256

Chukua hiyo bei ni 3500k hadi 400k

Unajua kwanini?

Hiyo processor inayokuja nayo tu kununua mpya ni zaidi ya 200k kama niko sahihi.

Nunua ram kwanza 8gb nyingi e iongezee.

Utacheza game karibu zote kwa medium setting.

Halafu budget inayobaki anza kuagiza

Baadhi ya parts kidogo kidogo.
Anza na

Gpu na Motherboard nyingine ya ryzen 5.

Hapa unakuwa unajiandaa kuiupgrade machine.

Baadae tafuta case, psu, fan n.k.

Unamaliza mchezo kwa kupangua parts kutoka mashine ya awali kuamishia mpya...

Cc Chief-Mkwawa
 
Baada ya kusumbuka muda mrefu kutafuta PC kwa ajili ya kucheza euro track nikasoma baadhi ya nyuzi humu kupata msaada kutoka kwa wadau wenye ujuzi wa hizi mambo hatimae nikaingia zangu karume mwaka 2024 April kama kunakitu nitakua nimepigwa bei ya juu kwenye hii list ni kwa sababu ya ugeni wa hizi mambo nilichukua Hp workstation tower ina core i7-4790 ikiwa na ram 8 za ddr3 ikiwa na psu ya watt 400 na HDD 500gb keyboard and mouse and all cables kwa 350,000 nikanunua ram zingine 8= 50,000 jumla zikawa 16gb nikanunua SSD 128gb kwaajili ya windows= 25,000 na HDD zingine mbili za 500gb+500gb kwa 45,000 nikanunua gpu ya NVIDIA GTX 1060 3gb kwa 150,000 kwa watu wa Facebook
Jumla nimetumia 620,000 hilo game la euro truck nacheza kwa ultra settings 1080p 60 fps VSync enabled sio euro truck tu games nyingi nacheza kwenye hii mashine kwa high and medium settings 1080p
Mzee SSD umenunua 25,000 kumbe cheap hivyo aisee
 
Fb nimesearch niliowakuta ni wachache sana akiwemo huyo uliyemweka,

Naweza kupata duka la custom pc ambazo ni mtumba ?

Naomba mfano wa hizo pc za workstation ulizotaja nazoweza kununua mtumbani na kuongezea gpu niweze kucheza games nilizoweka
Workstation mkuu ni za kuvizia cha muhimu uwe tu unazijua ukipita madukani ukiiiona kwa mbali unaulizia.

Kuna jamaa anaitwa Msomali yupo ndanda kama una tokea likoma unaenda machinga complex, chini basement, hata fb kama una search marketplace utakutana nae ana workstation kibao issue yake ni bei, ana tamaa vibaya mno.

Nyingi za dell zipo hivi zina kama kingazi
images-15.jpeg

Za hp zipo kama hivi kina kama imebondwA
hp-z2-tower-g4-1639990986.jpg

Kuna na Dell vostro pia sema hii hadi ukague sio zote zinakuja na psu kubwa. Kama mdau alivyosema cheki na machinga complex pia huwa zinakuwepo japo na kule kunataka mtu akushike mkono siku hizi, wenye tamaa wengi.

Ideal workstation around laki 4, yenye angalau intel gen ya 8, hata ikiwa i5 japo i7 ni Recomended. Then budget inayobaki focus gpu, upgrade ram na ssd.
 
Mcheki uyu: +255 784 545 494 nilichukua kwake pale Survey. Sikujuta.
 
Tatizo budget mkuu, hapo akijibana Bana labda 1660ti, ngumu kupata Rtx za maana labda 3050 6Gb version afanye pairing na desktop ya kawaida.

Kwa huu ushauri vipi chief, Naomba uweigh in hii comment maana kwa mazingira ya bongo pc za workstation at least zipo madukani

Baada ya kusumbuka muda mrefu kutafuta PC kwa ajili ya kucheza euro track nikasoma baadhi ya nyuzi humu kupata msaada kutoka kwa wadau wenye ujuzi wa hizi mambo hatimae nikaingia zangu karume mwaka 2024 April kama kunakitu nitakua nimepigwa bei ya juu kwenye hii list ni kwa sababu ya ugeni wa hizi mambo nilichukua Hp workstation tower ina core i7-4790 ikiwa na ram 8 za ddr3 ikiwa na psu ya watt 400 na HDD 500gb keyboard and mouse and all cables kwa 350,000 nikanunua ram zingine 8= 50,000 jumla zikawa 16gb nikanunua SSD 128gb kwaajili ya windows= 25,000 na HDD zingine mbili za 500gb+500gb kwa 45,000 nikanunua gpu ya NVIDIA GTX 1060 3gb kwa 150,000 kwa watu wa Facebook
Jumla nimetumia 620,000 hilo game la euro truck nacheza kwa ultra settings 1080p 60 fps VSync enabled sio euro truck tu games nyingi nacheza kwenye hii mashine kwa high and medium settings 1080p
 
Kwa huu ushauri vipi chief, Naomba uweigh in hii comment maana kwa mazingira ya bongo pc za workstation at least zipo madukani
Ushauri upo sahihi mkuu, sema wewe demand zako ni kubwa, tafuta gen ya 8 badala ya 4, mfano hio FC25 unaona Recomended system requirements, i7 4790 utatoboa ila kwa shida, games mpya zinaanzia ku struggle kwa cpu zenye core 4.
 
Chukua baadhi ya hizi parts
CPU Ryzen 5 4500 or Ryzen 3 3600
Motherboard B 450 itafaa.
GPU Radeon RX 580
RAM 16GB DDR4
PSU tafuta locally huko Daslam naskia zipo, usiagize tafta 500W ya mtumba.
Storage pambana upate NVME ya 1TB speec walau around 1000MBps
Case tafta locally hapo Daslam.

NB: Kwa hapo utapata ya kuanzia kwa hayo matumizi yako, kaa baada ya mda budget ikibkaa vzr jiongeze u upgrade GPU kwenda Rx 6600M.
Sawa
 
Ushauri upo sahihi mkuu, sema wewe demand zako ni kubwa, tafuta gen ya 8 badala ya 4, mfano hio FC25 unaona Recomended system requirements, i7 4790 utatoboa ila kwa shida, games mpya zinaanzia ku struggle kwa cpu zenye core 4.
Umeeleweka kiongozi, kuna hizi gpu zinaitwa rtx 580, nimezi google zina nguvu na kwenye benchmark zipo rank nzuri ila bei inanipa mashaka maana ni cheap, zina shida au (When the deal is too good think twice)
 
Ni rx mkuu sio rtx, ni katika gpu nzuri za bei rahisi weakness yake kwa sasa ni ulaji umeme mkubwa na pia games mpya zinazohitaji ray tracing hazikubali humo.
 
View attachment 3198936

Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba

Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida.

Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1

Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo

Euro Truck Simulator 2​

  • MINIMUM:
    • OS: Windows 10 64-bit
    • Processor: Intel Core i5-6400 or AMD Ryzen 3 1200 or similar
    • Memory: 8 GB RAM
    • Graphics: NVIDIA GeForce GTX 660 or AMD Radeon RX 460 or Intel HD 630 (2GB VRAM)
    • Hard Drive: 25 GB available space (Euro Truck
  • RECOMMENDED:
    • OS: Windows 10 64-bit
    • Processor: Intel Core i5-9600 or AMD Ryzen 5 3600 or similar
    • Memory: 12 GB RAM
    • Graphics: NVIDIA GeForce GTX 1660 or AMD Radeon RX 590 (2GB VRAM)
    • Hard Drive: 25 GB available space (Euro Truck Simulator 2 base game)
EA SPORTS FC™ 25

  • MINIMUM:
    • Requires a 64-bit processor and operating system
    • OS: Windows 10 - 64-Bit (Latest Update)
    • Processor: AMD Ryzen 5 1600 or Intel Core i5 6600k
    • Memory: 8 GB RAM
    • Graphics: AMD RX 570 or Nvidia GTX 1050 Ti
    • DirectX: Version 12
    • Network: Broadband Internet connection
    • Storage: 100 GB available space
    • Sound Card: DirectX: 12 Compatible video card or equivalent (feature level 12_0)
  • RECOMMENDED:
    • Requires a 64-bit processor and operating system
    • OS: Windows 10 - 64-Bit (Latest Update).
    • Processor: AMD Ryzen 7 2700X or Intel Core i7 6700
    • Memory: 12 GB RAM
    • Graphics: AMD RX 5600 XT or Nvidia GTX 1660
    • DirectX: Version 12
    • Network: Broadband Internet connection
    • Storage: 100 GB available space
    • Sound Card: DirectX: 12 Compatible video card or equivalent (feature level 12_0)
Wachek hawa jamaa wa PHONEPOINTDAR
 
Attachments

  • Screenshot_20250112-074009.png
    Screenshot_20250112-074009.png
    1.2 MB · Views: 7
Back
Top Bottom