Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

Ni rx mkuu sio rtx, ni katika gpu nzuri za bei rahisi weakness yake kwa sasa ni ulaji umeme mkubwa na pia games mpya zinazohitaji ray tracing hazikubali humo.
Nimekutana na hiki kitu niusd 700

1000089260.jpg
 
Unless Una plan ya kucheza docked, steam deck bado ipo vyema zaidi kwenye low power watts 15 kushuka na bei yake kitonga zinaenda sale hadi $300.

Pia AMD wamezindua cpu mpya za handheld soon zinakuja nyengine zenye nguvu zaidi.

Hii ni legion go?
Ndio ni legion go.
 
Back
Top Bottom