Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

Kwa hali ninayoiona nadhani afikirie gpu zenye ray tracing na dlss.
Tangu fifa 23. Kwenye graphics naona wanaongeza tu vitu vya kusett.

Tusishangae fc27 ikaja ikawa inataka features za dlls na ray tracing pia.
 
Dah ni kitambo ila.. kwa uzoefu wangu nlivokua nafanya, naona ni vizuri utafute spea moja moja ya hardware based na budget + spec zako umazohitaji.
 
Monitor ya hp 1920x1200 resolution 60hz cables nilipewa power cable na cable ya display port
Nisaidie model ya hio work station, ikipendeza na duka pia uliponunua

Monitor nayo ni model gani ulinunua kwa sh ngap
 
Kwa hali ninayoiona nadhani afikirie gpu zenye ray tracing na dlss.
Tangu fifa 23. Kwenye graphics naona wanaongeza tu vitu vya kusett.

Tusishangae fc27 ikaja ikawa inataka features za dlls na ray tracing pia.
Gaming kwenye pc ni expensive halafu wametubana kwenye kona baadhi ya games kama euro truck ngumu kuzikuta kwenye consoles na wanaipendelea zaidi kwenye pc version
 
Tatizo budget mkuu, hapo akijibana Bana labda 1660ti, ngumu kupata Rtx za maana labda 3050 6Gb version afanye pairing na desktop ya kawaida.
 
Gaming kwenye pc ni expensive halafu wametubana kwenye kona baadhi ya games kama euro truck ngumu kuzikuta kwenye consoles na wanaipendelea zaidi kwenye pc version
Tafuta tower yenye rayzen processor. (Hata ikiwa sff si mbaya sana)

Ryzen kuanzia 5 3600g

Utaikuta na ram 8gb
Hdd gb 500 ama sdd gb 256

Chukua hiyo bei ni 3500k hadi 400k

Unajua kwanini?

Hiyo processor inayokuja nayo tu kununua mpya ni zaidi ya 200k kama niko sahihi.

Nunua ram kwanza 8gb nyingi e iongezee.

Utacheza game karibu zote kwa medium setting.

Halafu budget inayobaki anza kuagiza

Baadhi ya parts kidogo kidogo.
Anza na

Gpu na Motherboard nyingine ya ryzen 5.

Hapa unakuwa unajiandaa kuiupgrade machine.

Baadae tafuta case, psu, fan n.k.

Unamaliza mchezo kwa kupangua parts kutoka mashine ya awali kuamishia mpya...

Cc Chief-Mkwawa
 
Mzee SSD umenunua 25,000 kumbe cheap hivyo aisee
 
Fb nimesearch niliowakuta ni wachache sana akiwemo huyo uliyemweka,

Naweza kupata duka la custom pc ambazo ni mtumba ?

Naomba mfano wa hizo pc za workstation ulizotaja nazoweza kununua mtumbani na kuongezea gpu niweze kucheza games nilizoweka
Workstation mkuu ni za kuvizia cha muhimu uwe tu unazijua ukipita madukani ukiiiona kwa mbali unaulizia.

Kuna jamaa anaitwa Msomali yupo ndanda kama una tokea likoma unaenda machinga complex, chini basement, hata fb kama una search marketplace utakutana nae ana workstation kibao issue yake ni bei, ana tamaa vibaya mno.

Nyingi za dell zipo hivi zina kama kingazi

Za hp zipo kama hivi kina kama imebondwA

Kuna na Dell vostro pia sema hii hadi ukague sio zote zinakuja na psu kubwa. Kama mdau alivyosema cheki na machinga complex pia huwa zinakuwepo japo na kule kunataka mtu akushike mkono siku hizi, wenye tamaa wengi.

Ideal workstation around laki 4, yenye angalau intel gen ya 8, hata ikiwa i5 japo i7 ni Recomended. Then budget inayobaki focus gpu, upgrade ram na ssd.
 
Mcheki uyu: +255 784 545 494 nilichukua kwake pale Survey. Sikujuta.
 
Tatizo budget mkuu, hapo akijibana Bana labda 1660ti, ngumu kupata Rtx za maana labda 3050 6Gb version afanye pairing na desktop ya kawaida.

Kwa huu ushauri vipi chief, Naomba uweigh in hii comment maana kwa mazingira ya bongo pc za workstation at least zipo madukani

Kwa huu ushauri vipi chief, Naomba uweigh in hii comment maana kwa mazingira ya bongo pc za workstation at least zipo madukani
Ushauri upo sahihi mkuu, sema wewe demand zako ni kubwa, tafuta gen ya 8 badala ya 4, mfano hio FC25 unaona Recomended system requirements, i7 4790 utatoboa ila kwa shida, games mpya zinaanzia ku struggle kwa cpu zenye core 4.
 
Sawa
 
Umeeleweka kiongozi, kuna hizi gpu zinaitwa rtx 580, nimezi google zina nguvu na kwenye benchmark zipo rank nzuri ila bei inanipa mashaka maana ni cheap, zina shida au (When the deal is too good think twice)
 
Ni rx mkuu sio rtx, ni katika gpu nzuri za bei rahisi weakness yake kwa sasa ni ulaji umeme mkubwa na pia games mpya zinazohitaji ray tracing hazikubali humo.
 
Wachek hawa jamaa wa PHONEPOINTDAR
 
Attachments

  • Screenshot_20250112-074009.png
    1.2 MB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…