Nahitaji gari used Landcruiser

Nahitaji gari used Landcruiser

1hz mil 22,hiyo hela hainunui hata body

Mkuu Mbulu.

Salaam, nashukuru kwa taarifa, naamini hapa jukwaani kuna wenye nguvu ya hio 22 na watakutafuta Mkuu.

Kwa sasa naendelea kuhangaika na bajeti yangu ya Millioni tano na ninaamini italeta matokeo kama sio leo kesho, ni suala la muda tu.

Kwa sasa tuendelee kuombeana uzima ili siku moja mimi nami niweze kufikia hapo kwenye 22 Mkuu.

Nikutakie kila lililo la kheir kuelekea mwisho wa mwaka na uingiapo mwaka 2019.

Shukrani Mkuu.

¬Mawio 🙂🙂!!!..
 
Mkuu kwa hiyo hela usihangaike,na ukipata basi weka mil 6 au 7 hapo juu ya kuitunza
 
Back
Top Bottom