Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy.
Gari ambayo naweza enda nayo Arusha nikageuza to Dar. Au Mbeya nikageuza to Dar kesho yake au Mwanza kesho yake nikageuza to Dar.
Hii natakata iwe naitumia mimi anytime nikitakiwa kuamsha popo naamsha. Shughuli zangu zinanifanya nisafiri sana gari nilizo nazo moja inabaki ya wife,nyingine watoto na nyingine ni kubwa zaidi kusafiri nayo kila mara.
Nahitaji ushauri wenu katika hili. Iwe Toyota ili nisisumbuke na spares kama hii gari nyingine kubwa huwa mikoa mingine hawana spares.