Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy.

Gari ambayo naweza enda nayo Arusha nikageuza to Dar. Au Mbeya nikageuza to Dar kesho yake au Mwanza kesho yake nikageuza to Dar.

Hii natakata iwe naitumia mimi anytime nikitakiwa kuamsha popo naamsha. Shughuli zangu zinanifanya nisafiri sana gari nilizo nazo moja inabaki ya wife,nyingine watoto na nyingine ni kubwa zaidi kusafiri nayo kila mara.

Nahitaji ushauri wenu katika hili. Iwe Toyota ili nisisumbuke na spares kama hii gari nyingine kubwa huwa mikoa mingine hawana spares.
Fuel economy yako ni ipi mkuu? 15k/l au?
 
Mkuu wangu- watanzania wengi hatuyaishi maisha ya brand husika,Haiwezekan mtu aendeshe FUGA & Crown kwa utamaduni wa Passo [emoji1787] [emoji1787] ,Kuna jamaa alihadithia huku mtu alienda kwa dealer wa Range Rover akaanza kuulizia habari za fuel economy-dealer akamjibu in short kwamba bado hajafikia level hyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah hizo ni story tu mkuu,angalia hata reviews za Range rovers 5.0L V8 Supercharged na gari nyingine za dizaini hio wenye nayo wako wanalalamikia poor gas mileage/gas guzzler.
 
Ukiona mtu analalamika manake hastahili kuwa kwenye hilo daraja,Sijawah tegemea kumwona Mo and Mengi wakilalamikia poor gar milleage kwenye Range.
 
Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy.

Gari ambayo naweza enda nayo Arusha nikageuza to Dar. Au Mbeya nikageuza to Dar kesho yake au Mwanza kesho yake nikageuza to Dar.

Hii natakata iwe naitumia mimi anytime nikitakiwa kuamsha popo naamsha. Shughuli zangu zinanifanya nisafiri sana gari nilizo nazo moja inabaki ya wife,nyingine watoto na nyingine ni kubwa zaidi kusafiri nayo kila mara.

Nahitaji ushauri wenu katika hili. Iwe Toyota ili nisisumbuke na spares kama hii gari nyingine kubwa huwa mikoa mingine hawana spares.
unataka six cylinder au unataka pefomance? Fuel consumption tuiweke constant kwanza, kwa kuwa perfomance is directly proportional to performance
 
Back
Top Bottom