Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

PREMIO ndio tamu sana.. yana mimi naendesha kwa miaka 2 sasa.. lita moja 11kmna wakati fulan hadi 12km depend na Mood yangu.. huwa nikiwa nimekasirika natabia ya kuwa na mguu mzito sana..but nikiwa kwenye good mood.. mafuta yanaenda very slow.. naenda arusha frequently ba dodoma
Premio ya cc ngapi hio yako?
 
Wewe ndio ufunzwe,hizo story za standards hakunaga huku kwny magari.K

Maswala ya kukariri tu 6 cylinders inakula kuliko 4 cylinders ni ya kizamani hayo.
Shida mkuu unaonekana una elimu ya kukariri,punguza kujimwambafy-Everything unajua,Punguza hzo mambo.
 
Mimi napendelea suv za bei chee 🤣,niko kwenye rav4 hapa najipanga panga niupgrade kwenye kluger japo naprefer sana vanguard ila mfuko haueleweki 🤣
Uwe na subira mkuu, chukua Vanguard ile ni machine, kwanza inatembea kishenzi. Nilishawai toka Dar to Mwanza kwa hoyo kitu, ni tamu asikwambie mtu
 
Ukiona mtu analalamika manake hastahili kuwa kwenye hilo daraja,Sijawah tegemea kumwona Mo and Mengi wakilalamikia poor gar milleage kwenye Range.
Inategemea
Napenda ma engine makubwa lakn pia napenda ku achieve better milages na Mara nyingi huwa nafanikiwa
Driving is an art too , ukiweza ku command engine ikakupa kile unachotaka ina raha yake ,
 
Back
Top Bottom