Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Inategemea
Napenda ma engine makubwa lakn pia napenda ku achieve better milages na Mara nyingi huwa nafanikiwa
Driving is an art too , ukiweza ku command engine ikakupa kile unachotaka ina raha yake ,
Mkuu ni maisha tu 🤣 🤣 Unafikiri tungekuwa na visima vya mafuta hapo shamban tungeangalia RPM;Hapana Aisee,hata kichwa ya Scania tungeweza amishia kwenye SUV tupate vitu tofauti tofauti humu humu Tanzania🤣🤣🤣
 
Majesta ni jini V8 lile...Asiguse huko ye atafte 1G yake kwenye Verosa au Mark 2 atulie!
Usimtishe aseeee... akishaliweka mkononi atajua atavyo pambana nalo. Gari ni kama pisi kali, nani asie penda pisi kali hata kama hana hela ? Ila ikitokewa ngekewa kaipata mtu pisi kali ambayo hakutegemea, huongeze michakato ya kuihudumia.. na magari yapo hivyo hivyo, siku akikosa kabisa, anapaka anapanda dalala
 
Ndio inavyotakiwa kama unataka fuel economy nunua IST wese lako la 10,000 wiki nzima.
Ila ndio hupati raha ya chombo cha ngozi nyeupe. Hela itafutwe tu mkuu. Huwa sipati picha sie tu na hivi vi crown tunasema kuna luxury, je wa kwenye Mereced Maybach S650.. ila raha yake ya ndani ikoje mle
 
Mkuu ni maisha tu [emoji1787] [emoji1787] Unafikiri tungekuwa na visima vya mafuta hapo shamban tungeangalia RPM;Hapana Aisee,hata kichwa ya Scania tungeweza amishia kwenye SUV tupate vitu tofauti tofauti humu humu Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ondoa hayo mawazo ya kizamani kwanza , engine kuwa kubwa haimaanishi kuwa itakula mafuta vibaya ,
Kuna sanaa ya kuendesha engine kubwa na economy utapata
 
Ondoa hayo mawazo ya kizamani kwanza , engine kuwa kubwa haimaanishi kuwa itakula mafuta vibaya ,
Kuna sanaa ya kuendesha engine kubwa na economy utapata
Kwann mtu ununue gari ya engine kubwa just kusave mafuta badala ya kupata real performance ya gari husika iliyotengenezwa nayo? Nakubaliana na RRONDO kabisa it's pointless kununua gari yenye machine kubwa na kuendesha kwa style ambayo itakupa fuel economy ya IST,hii ni totally wastage ya resources.
 
Mkuu ni maisha tu 🤣 🤣 Unafikiri tungekuwa na visima vya mafuta hapo shamban tungeangalia RPM;Hapana Aisee,hata kichwa ya Scania tungeweza amishia kwenye SUV tupate vitu tofauti tofauti humu humu Tanzania🤣🤣🤣
Watoto wa kiarabu wanazichezea hizo 5.6 & 5.7L V8 za kijapani like a Joke 😂😂😂
 
Watoto wa kiarabu wanazichezea hizo 5.6 & 5.7L V8 za kijapani like a Joke 😂😂😂
Wale hawanaga mambo ya kuchungulia RPM wala wallet,wanakwambia wanatumia gari ipasavyo hata ikibidi na modifications wanafanya kabisa 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom