mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 973
- 1,358
jipange kwanza mkuu ukishakua tayari uje tukupe ushauri inaonekana unaogopa sana gari inayo kula mafuta au tukubadilishie sytem iwe inatumia gesii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Somo refu Ila ngoja nijaribuKwann mtu ununue gari ya engine kubwa just kusave mafuta badala ya kupata real performance ya gari husika iliyotengenezwa nayo? Nakubaliana na RRONDO kabisa it's pointless kununua gari yenye machine kubwa na kuendesha kwa style ambayo itakupa fuel economy ya IST,hii ni totally wastage ya resources.
Saa nyingine najiulizaga maswali :Kwa hio mkuu kati ya mazda rx 8(cc 1300) vs Altezza (cc 2000) ipi inakula mafuta sana hapo?
Hapo kwenye mileage 180km/hr ndio umemaanisha nini, top speed au ni total mile covered kwenye hiyo gari.Toyota
model:Harrier old model
fuel type😛etrol
Gear: Automatic
Mileage:180km/hr
year:1999
Cc :2160
4cylinder
Price/bei 15.5m
Contact/whatsapp kwa taarifa zaidi 0759827138
Scania linakuwa na Torque kubwa sana, speed, itazidiwa na hiyo yenye HP kubwa, ila maguvu hako kadogo kanakaaaSaa nyingine najiulizaga maswali :
Let say scania 113e ipi na 320hp
Alafu unakuta tena kagari kadogo kapo na 400+hp ndio kusema kana ubavu kuliko scania??[emoji848][emoji848]
Kwa sasa namiliki baiskeli tu.
Hapo hizo concept za mechanics shida sana aisee.Scania linakuwa na Torque kubwa sana, speed, itazidiwa na hiyo yenye HP kubwa, ila maguvu hako kadogo kanakaaa
Hapo nimeongeza chumvi tuIST ya 1300cc labda. Ile ya 1500cc hutoboi!
Hapo nimeongeza chumviIST ya 1300cc labda. Ile ya 1500cc hutoboi!
Vp kihusu brevisPREMIO ndio tamu sana.. yana mimi naendesha kwa miaka 2 sasa.. lita moja 11kmna wakati fulan hadi 12km depend na Mood yangu.. huwa nikiwa nimekasirika natabia ya kuwa na mguu mzito sana..but nikiwa kwenye good mood.. mafuta yanaenda very slow.. naenda arusha frequently ba dodoma
Sina experience, hivi Mark X Engine code 4GR na Crown Athlete the same Engine Code with the same CC(2500) ulaji wake uko sawasawa? Hakuna maboresho fulani ya mfumo wa umeme ambao moja kati ya gari hizo unasababisha iwe na unafuu katika fuel economy?Ndio nimeendesha, na ndio maana nimemuambia achukue Athelete nina experience nayo, haili wese kabisa
Hutakiwi kulalamika hio ndio level ya Crown ila ukisikia mtu anasema hainywi wengine wanapotoka wanaingia mkenge walifikiri ni kama PremioMimi similiki crown uwa nazugia za washkaji,ila kwa comf ile ya crown 7-8 wala sio ya kulalamika
Mm ninalo usije Na fundiKuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below that. Ila iwe gari stable barabarani na fuel consumption yake iwe economy.
Gari ambayo naweza enda nayo Arusha nikageuza to Dar. Au Mbeya nikageuza to Dar kesho yake au Mwanza kesho yake nikageuza to Dar.
Hii natakata iwe naitumia mimi anytime nikitakiwa kuamsha popo naamsha. Shughuli zangu zinanifanya nisafiri sana gari nilizo nazo moja inabaki ya wife,nyingine watoto na nyingine ni kubwa zaidi kusafiri nayo kila mara.
Nahitaji ushauri wenu katika hili. Iwe Toyota ili nisisumbuke na spares kama hii gari nyingine kubwa huwa mikoa mingine hawana spares.
Huna tofauti na Watanzania wengi.Mkuu siendeshi gari ya chini ya mwaka 2005
Good question. 8-12 kms per lita si mbaya. Coz ninayo ambayo inatumia 7-8 kms per litre - dieselFuel economy yako ni ipi mkuu? 15k/l au?
Basi una machaguo mengi. Crown,Fuga kwa saloons kama ulivyosema hutaki chini ya 2005 zipo kuanzia 2007-20 wewe tuGood question. 8-12 kms per lita si mbaya. Coz ninayo ambayo inatumia 7-8 kms per litre - diesel
Achana nao hao . kama una hoja weka mezani we Mganda.ujuaji usiwe mwingi sana.Huna tofauti na Watanzania wengi.
Aah, sasa hiyo mbona sawa tu na gari kama Rav 4 engine code 1AZ, 1ZZ na 2AZ? 1ZZ iko kwenye Kill time Rav 4, Voltz, Premio kutaja baadhi.Inacheza kwenye 7 mpaka 8